Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu uzi wamekuwa hawaupendi tena, hawana hamu nao, ila shida ni kwamba 99% ya hawa wakundustan wa humu hawana shughuli za kufanya na wanautegemea huu uzi kuwaondolea stress, sasa na cc tunawakazia ili wakatafute shughuli za kufanya hata kuuza makopo ikibidi na co kukesha humu tu JF [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

LIST OF TANZANIA PROTECTED AREAS​

Part eight


Yupo kwa sasa na protected areas 75, This is for our generation and future.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…