Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo wacha nipromote Bakhresa. ...

Great drink though
ni jambo zuri ila naomba nikushauri tu.
usipendelee kunywa energy drink iwe ya tanzania, kenya au europe.

wataalam wanasema mchanganyiko unaotumika kutengeneza energy drink,una madhara makubwa kwa binadam.
 
Wow I just came across this picture...vipi wenzangu mnieleze kinachoendelea hapa tafadhali...sielewi mie😀😀😀😀🙄🙄🙄...
 
Ni juzi tu mlikua kwenye red[emoji3][emoji3]iyo red ni namba ya mpito, ata mnapoanza shule kila mtu hua na zero but usikivu wako na bidii ya kusoma ndio utakupa division Za juu
 
Hii pia inamaanisha ni bora kuliko Angola? Noma sana .
 
Ni juzi tu mlikua kwenye red[emoji3][emoji3]iyo red ni namba ya mpito, ata mnapoanza shule kila mtu hua na zero but usikivu wako na bidii ya kusoma ndio utakupa division Za juu
uchungu kumeza😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…