Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu tujaribu kutoa hazo tower Tatu tuone vile katafananaπŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2448750
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Haikomboi Dar bana.., CBD inabakia tu hiyo moja.. hiyo picha ulio post covers most of it, ambayo unajaribu kutumia kuikomboa Dar.., the main buildings zote ndani.., chezeni na Mombasa bana., ukubwa wa Dar ni makazi uchwara, population na udongo, development NO!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

, usiwe unalazimisha mambo ilihali picha zipo.. huo ni uchizi basi ..
 
, usiwe unalazimisha mambo ilihali picha zipo.. huo ni uchizi basi ..
Tofauti ya hizi picha mbili ni nini? nini umeongezea hapo? same CBD different angle,, ni mwendawazimu atalazimisha kulinganisha Dar na Nairobi....,

Tofauti ya hizi picha mbili ni nini? nini umeongezea hapo? same CBD different angle,, ni mwendawazimu atalazimisha kulinganisha Dar na Nairobi....,

Can't you see the difference between those two pictures ..? Basi we mwehu tu πŸ˜‚ picha yako unayoipenda inaonyesha upande wa posta unaotazamana na KK tu .. kuanzia barabara ya sanamu la Askari to the East side hakuonekani, na huo ndio upande ambao uko organized vizur .. mind you picha yote inaonyesha sehemu tu ya Posta .. unasemeje hiyo ndio Dar yote.? Dar ni KK mzee EA's concrete jungle
 
Ukichaa inakusumbua.., kama kuna ongezeko ni kidogo sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Ukichaa inakusumbua.., kama kuna ongezeko ni kidogo sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
View attachment 2448800
View attachment 2448801
Kweli we ni fala utaacha lini kulazimisha mambo .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Picha yako inaonyesha upande wa nyuma wa rita tower na golden tulip hotel., hilo jengo ulilozungushia duara hapo .. can't you see.? Hizo gorofa umezungushia duara kwenye picha niliyopost mimi ni hizi tatu za blue zilizofutana kwa ukaribuπŸ‘‡unaweza nionysha hizo kwenye picha yako pendwa.?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…