Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aliyekwambia Ni temporary Ni Nani au ndio kujifariji mwenyewe? 😂😂🤪😂.

Meanwhile Tanzania Hali iko hivi 👇
 
Waziri wenu huyo na waziri wa mama
I told you people your SGR was loan from start to finish, now see the truth is just coming out. Ama bado you believe that Tanzania built the phase one with internal funds?
 
Hapa pako busy hatari
Namkumbuka Jamaa yangu fulani alinambia sasa unaenda kusoma PCB ya nn kwanini Usisome PCM....Yule mwamba Yuko apo Bandari ni Mhandisi Analipwa hela nzuri sana sahv, Juzi kati apa ananiuliza kwann unaendesha forester?..[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ye anasukuma Prado ya 2015 Daah haya maisha nyie
 
Japo mimi sio mtaalamu wa uchumi lakini sijaona kama kuna mahusiano ya kulipa deni la mkandarasi na kupaa kwa deni la taifa

Sijaelewa pia huo uhusiano.
Kazi inaendelea so mkandarasi atataka alipwe malipo labda so serikali itatafuta pesa ya kumlipa , sijui.
Wakunya wanatamani sana wasikie kipande cha Dar Moro kikisemwa ni mkopo, huoni hiyo kondoo isiyo fahamu lugha yoyote ishakimbilia kusema deni [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana unakuta mkunya ana apps zaidi za kumi za loans Kwenye simu.
 
First what's export? Maybe I have talking to school dropout thinking that I'm arguing with a mature man. What's export?
Sale of goods and services outside the customs cotrolled area such as EA custom union. Happy now bozo [emoji16]

Sales within EA are categorised as internal trade.

Wewe elezea unavyojua wewe sio google utalemaza akili yako.
 
Exports of goods and services outside the customs cotrolled area such as EA custom union. Happy now bozo [emoji16]

Sales within EA are categorised as internal trade.

Wewe elezea unavyojua wewe sio google utalemaza akili yako.
Kumbe wajinga wako wengi Tz😂😂😂.

Export is the sale of goods and services outside the boundaries of country of origin.


Go back to school you idiot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…