Done by LSHS. The kind of competition going on between Master Fabricator, AVA, Banbros, Choda and LSHS is the reason Kenya produce beautiful buses.Welldone Kenya...Buy Kenya Build Kenya...You are on the right path...
KU ni 6KUdsm inawanafunzi 20K plus hivi How about KU? Nimefika hapo Udsm kwanza library zipo mbili zinatosha kulingana na Mazingira ya pale
Kwani unajua kuliko Kenyatta University?Hiyo yenu capacity yake ni 1500 pax na muache uongo wa kusema ni 6000pax acheni ujinga hapa.
Acha ujinga KU library floor area ni 3,200sqm while UDSM ni 20,000sqm so acha kulinganisha uchafu wenu na library ya viwango.Floor mbili ikue biggest in Africa ata orodha ya kubwa kumi hampatikani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..,
hii [emoji116][emoji116]ndio meaning ya the biggest in Africa, mchina na Magafuli waliwadanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., uboya na uzezeta wako peleka kule vijiweni dogo, usituletee upuzi humu..zoea ukweli,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Africa's Largest University Library: The Royal Library of Alexandria, Egypt.
kisha...,
Africa Fourth largest... Kenyatta University Kenya (biggest in East n Central Africa).., yaani iko hadi na underground floor(yaani Basement)!.., alafu tufananishe na a 2 floor nonsense!
View attachment 2445428
View attachment 2445433with escalators alafu tufananishe na Vasco Da Gama Library[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2445438
Hata ya UoN yenye ilijengwa 1987 ina floors nyingi kuishinda.Hapa Hata mtoto mdogo atakuambia which one is bigger.
KU Library.
View attachment 2445423View attachment 2445425
Vs
Chinese donation.
View attachment 2445426
Hawa ndio wanafanya SGR ichelewe,Mwanaume huyo kashusha vyuma zaidi ya 50
View attachment 2444766
That's the the floor area of the old library. Desperation imekufikisha hapo? Wewe kwa akili Yako unadhani this building inaezajengwa using 20 million shillings?😂😂🤣Acha ujinga KU library floor area ni 3,200sqm while UDSM ni 20,000sqm so acha kulinganisha uchafu wenu na library ya viwango.
View attachment 2445603 KU library 3,220sqm
Tanzania ni nchi kubwa sana na bado tanzania imezungukwa na nchi saba kwa lugha fupi biashara ipo hata zikija kampuni elf 10 bro 🤣🤣🤣Hawa
Hawa ndio wanafanya SGR ichelewe,
Ndio biashara zao zisikufe!!!
Mbona hizo biashara hazionekani kwa volume ya ports zenu? Mkubali tunkwamba your SGR will have no cargo to carry.Tanzania ni nchi kubwa sana na bado tanzania imezungukwa na nchi saba kwa lugha fupi biashara ipo hata zikija kampuni elf 10 bro 🤣🤣🤣
Huwez kuziona kwasababu hauko tanzania ndio maana ndugu zenu wakija huku hua hawataki kurudi kwao 🤣🤣 dar port ndio mwiba mkubwa wa mombasa port na SGR ya tanzania ndio mwiba wa kenya na africa kwa ujumla najua maneno ni machungu but vumiliaMbona hizo biashara hazionekani kwa volume ya ports zenu? Mkubali tunkwamba your SGR will have no cargo to carry.
si usupporti na mapicha pia nawe masela. ndo ni tii basi🤚🏽Hii ni takataka kaka wacha kupost humu.. kabla uongee upuuzi wako pitia hizi Town
.. Tanga
2. Moshi a.ka kisumu's met
3.Iringa
4. Singida
5. Musoma
6. Bukoba
7.Shinyanga town
Ok, let's see if Dar Port ni Mwiba kwa Mombasa port.Huwez kuziona kwasababu hauko tanzania ndio maana ndugu zenu wakija huku hua hawataki kurudi kwao 🤣🤣 dar port ndio mwiba mkubwa wa mombasa port na SGR ya tanzania ndio mwiba wa kenya na africa kwa ujumla najua maneno ni machungu but vumilia