Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya tusaidieni kushangaa runway ya Jnia inashimo ndege kubwa haziruki wala kutua nimeona aibu mimi!
Poor serikali ya tz , shame shame shame!!!!
 
Tanzanian phase one is full loan. Mwenye hataki ajinyonge.

Wakenya tusaidieni kushangaa runway ya Jnia inashimo ndege kubwa haziruki wala kutua nimeona aibu mimi!
Poor serikali ya tz , shame shame shame!!!!
Kwahali hii tumezidiwa hadi na burundi
Shame shame shame!!!!
 
Wakenya tusaidieni kushangaa runway ya Jnia inashimo ndege kubwa haziruki wala kutua nimeona aibu mimi!
Poor serikali ya tz , shame shame shame!!!!
JNIA haikuangi airport. That's a godown for parking planes.
 
Mmoja atakaewahi ndio bahati yake tena socket yenyewe hata sio multplug na hakuna USB port, dunia imetoka huko mzee!
Halafu inabidi abong'oe kuifikia! Imagine abiria ni Uhunye na tumbo lake katoka kuchapa whisky yake! Hapo Lazma arudishe change yaani amtapikie aliyekaa upande wa dirishani! Kunyaland kuna ufalamanga sana!
 
Sockets ziko kwa SGR yetu. Again kwani how foolish are you utoke kwako kama bado hijacharge your gadget?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
Hiyo seatplan wanakaa wangapi na Sockets zipo ngapi? 1st class imekaa kijuakali utafikiri wanapanda bure πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…