Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unafanana na ule wenu?nyamaza
 
Aliwapa bei gani alivyokua raisi wa USA?I thought maybe angewapa $zakutosha kuwatoa kwenye njaa...

Kuhusu pm wa Britain yule sio mtanzania na wala hatumtambui.Yule ni mhindi kwa asili na muingereza kwa uraia
 
Wenzako wanalia kule Twitter, sijui ni nini inafanya Hapa weweπŸ˜‚

Mimi siwezi kulia kwa sababu serikali ilisema haya ni refurbished ili waanze huduma kuliko reli iwe idle mpaka yale mapya yatakapokamilika kutengeneza.
Na bado haya ndani ni mazuri na seat ni nzuri ukilinganisha na ya kwenu ambayo ni mapya.

Pili hoja yako ilikuwa matanki ya kwenye behewa, wewe msomi wa kenya unasema ni diesel, ndio tunakuelewesha.
 
Aliwapa bei gani alivyokua raisi wa USA?I thought maybe angewapa $zakutosha kuwatoa kwenye njaa...

Kuhusu pm wa Britain yule sio mtanzania na wala hatumtambui.Yule ni mhindi kwa asili na muingereza kwa uraia
Obama contributed cash that was used to Build a secondary school in his home village.
There's is so many things Obama did to Kenya.

So leo mmechange gear to refurbished?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚. For the tanks, I asked because I don't have any knowledge in locomotives. That's not my field. But kusema ukweli hapo kwa mabehewa mmegongwaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ile cku uta prove kwamba Obama ni mkenya ndiyo cku naondoka jamiiforums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ile cku uta prove kwamba Obama ni mkenya ndiyo cku naondoka jamiiforums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Why should I waste my time trying to prove the obvious to a watchman?
 
Kwa taarifa yako hizo train sio refurbished ni mpya kutoka kampuni ya Sung shin rollingstock ya korea Tz railways wameagiza 59 coaches za aina hiyo, pia hii ni kampuni tofauti na hyundai rotem inayotengeneza EMU zetu.

Mabehewa refurbished ni yale ya ghorofa tuu ambayo yanatoka Germany nayo yako 30 pamoja na electric locos 2
 
Kwa wahindi wanawake ndio wanaoa hata huyo Sunak kaolewa na mtoto wa tajiri India.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…