Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sawa nimekuelewa buda.

by the way,hata tanzania haipo nyuma katika kusifiwa na wazungu na nadhani inaweza ikawa inaongoza kwa kusifiwa zaidi EA.

huko twitter kuna mamia kwa maelfu ya tweets za wazungu zinazo sifia maeneo mbalimbali ya tanzania.
hizi ni baadhi tu kuhusu serengeti.

nikisema nizilete zote hapa,thread haitotosha labda tufungue thread maalum .
 
Sifa za nature mko sawa. But ikikuja development, infrastructure and stuff Kenya is pretty far ahead of you guys.
 
Sifa za nature mko sawa. But ikikuja development, infrastructure and stuff Kenya is pretty far ahead of you guys.
hahahahaha... Buda inaonekana roho inakuuma sana kugundua kuwa tz huwa inasifiwa sana na watu wa mataifa ya magharibi.

kwa taarifa yako hatusifiwi tu katika masuala ya nature,hata infrastructure huwa tunasiwa.
tazama hii..[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]


NB:sio tu wazungu bali hata watu wa kutoka nchi jirani,huwa wanasifia sana infrastructure ya tanzania.
tazama huyu mkenya alivyo bambika na BRT yetu.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mashindano ya CHAD vp😀😀😀😀😀
hawawezi kukwambia kuhusu hiyo issue...tayari washakula za uso...jana niliwawekea screenshot wakawa wanaipita kama hawaioni.
CAF haitaki ujinga.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
repost:
bad news for Kenyans....is it because of insecurity issues or what?.
 
Uzi mtamu sana huu mbona wadau mmeukaushia kama vip tuanzishe mwingine wa Costal cto Costal. Mombasani // TangaKunani
Kenya Sana miji michache sana.
Ukitoa Nairobi na Mombasa kwa mbaaali zinafuata Kisumu, eldoret, kiasi flani na Nakuru.

Baada ya hapo ni changanyikeni tu, Kisii, Narok, Moyale, Mwisho watakutajia mpaka Migori na Naivasha

Lakini Tanzania ni Raha Uchumi wetu kila Mahali

Dar Es salaam
Mwanza/Arusha/Tanga/Mbeya/Moshi/Dodoma

Morogoro/Iringa/Kigoma

Musoma/Shinyanga/Mtwara/Singida/Tabora/Kahama/Songea/Bukoba

Babati/Geita/Bariadi/Songwe/Lindi

Without Mentioning Zanzibar
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…