Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwenzio anapost anakula kuku uku wenzie wanakufa kwa njaaaaaaaaaaa ase ndio mnavyo jipambanua amna akili nyie wakunyania for sure
Danganyika pia watu wanakufa njaa na wengine wanaishi kistaarabu. Ndio hali ya maisha
 
Dodoma oblique view shows its the most organized city in Africa

Halafu naona campaign ya kupanda miti imeanza kujibu, imagine hapa ni kiangazi

Aisee panapendeza mno [emoji8][emoji3059][emoji3059][emoji8][emoji1241][emoji91][emoji91]

Wakenya wotee na Watz mliodhani tunatania kuhusu Dodoma naomba kwa heshima na taadhima muangalie hii video alafu mniambie ni mji gn hapa EA unaweza kuwa organized kama Dodoma. Naomba muangalie na ukubwa alafu na jinsi ulivyopangika.


Cc wanuka mavi wotee

Don YF naomba angalia alafu bila maumivu au kulia lia naomba utoe coment hata kama umeumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inapendeza sana ukizingatia muda wa miradi haina hata miaka 10 tangu ianzishwe. Pongezi kwa serikali kwa miradi yote iliyofanyika na inayoendelea kufanyika.

Sera ya upandaji miti isisahaulike, hakuna kupumzika. Kijani ikikolea kuna watu watesema hapa siyo Tanzania.
 
R.I.P Chuma, Mwamba, Kiboko ya wahuni JPM, ipo siku inakuja tutamuimba kwa nderemo na vifijo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huyo kichaa atakujazia taarab tu
 
Seeing me is more than enough to determine my type. I promise to meeting you some days.
 

Listen dear friend,

Majority Tanzanians you interact with on here are very good looking. I will leave it at that.



 

Attachments

  • Kenyatta1.jpg
    9.6 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…