Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya ukiona vi apartment viwili vitatu ujue pembeni yake kuna nyumba 10k za mafukara (slums).
 
Kwa namna ya kipekee kabisa tuwapongeze ndugu zetu Wakenya kwa kufuzu kozi ya ombaomba, hii kitu ni next level, mataifa machache ya hovyo hovyo ndio yamefika huku. Hongereni sana.
Jamaa wanaomba kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo tumewakosesha amani kwelikweli baada ya kuweka mauchafu yao hadharani, jamaa ni wachafu sn hawa.

Wanaona aibu hata kuchangia JF, wanafanya kupita tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii ndiyo CBD yao [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…