Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwenye maamuzi ya Mwisho sio Tanzania ni Uganda tusidanganye.Tz tumetoka njia na bandari.Uganda akibaliana na wanaopinga TZ hatuna cha kufanya.Ikumbukwe mchawi yupo hapa. Hapa East Africa
Hili bomba linatufaidisha karibu sawa na Uganda, tena nafikiri sisi tutafaidika zaidi hivyo tuonyeshe solidarity.
Kumwacha Museveni apige kelele peke yake sio sahihi.
Imagine hili bomba lingekuwa linapita kenya halafu itokee habari kama hii wangeshambulia vibaya.
Tujifunze kuwa aggressive kwenye vitu vyenye faida
 
ni hio hio gikombaa ndo utawapata wachaga, wanyamwezi, wahehe, wasukuma, wamakonde, wahadzabe..
hautawapata kwingine nairobi, ni hapo tu.. pengine na ngara kiasi

mchagga at the heart of gikombaa👇🏽
 
 
They shank because now our biggest market has shifted to US and china kwenye pesa iko
 
Hao wakunya ndio masnitch namba moja tena sio mara kwanza nakumbuka kuna kipindi serikali walikamata pembe za ndovu kutoka kwa majangili wakaamua kuomba kibali hili waziuze huko duniani hawa wakunya wakafanya kampeni kwenye kura za maoni tusiruhusiwe kuuza . Eti hatukuchukua hatua nzuri kulinda wanyama. Nakumbuka zile pembe zilichomwa kwa sababu tu hawapendi wakiona kuna amount itakuja Tanzania. Sasa hivi wanaongoza kampeni huko kupinga bomba la mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…