Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijakuelewa unavyosema ni propaganda ya CCM ...how wakati capacity inakuwa measured kwa sq meters za jengo..kwahyo kila capacity ni propaganda ya kitu...Terminal 3 ina capacity ya 6million pax , Terminal 2 1.5million passngers , Terminal 1 500k ..Total capacity 8 million..

usifananishe capacity na number of passngers served

Kwahyo kila kitu tutachowapita ni propaganda hatuwezi kuwa na terminal kubwa kuliko nyie sio...you have all things bigger acha upuuzi leta facts
 
Mnaweka filter sana kwenye video zenu na picha zenu...

Nairobi ni kuchafu na kubaya sana in reality..na nyie mnajua hilo...

Check moi avenue ya hapo cbd yenu kulivyo kuchafuView attachment 2370406View attachment 2370407
Swali nikuulize, filter inaweza kuficha uchafi eti?.., hii 👇 picha ya Dar ime wekwa filter, mbona naona uchafu? wacha nikupe darasa, filter haibadilishi ukweli halisia, wacha vijisababu uchwara..,
 
Hayo matent ya nn???
Hata sijui ni ya nini...wakenya ni wachafu mno...

Imagine hapo ni CBD....ukiteremka kidogo hapo downtown nairobi utakuta uchafu na matakataka kila kona kule eastleigh ndo kabisa..epicentre ya uchafu Africa nzima...
 
Sawa, weka picha tuzione..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…