Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duuuuuuuh!!!! Kweli chang'aaa siyo nzuri
 
Wewe ni mpumbavu kuruka.., ujenzi ambazo zinachukua miaka kukamilika ndio unazungumzia.., mngekua mnatumia cement kwa mpigo most of them zingekua done and dusted jizee kilaza.., ndio mnatoka porini hii leo, ujinga niondolee nilijua dat utaogopa kuanika humu.., nyambaff.
 
game over si nilikwambia mm ngoja waje na picha ya lipstick [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe mrogi utakufa kwa preesure bure..,
picha yako hii hapa wakati wa ujenzi, yaani roho mbaya, wivu na chuki zinakufanya utamani ikue ni sasa., pole sisi sio wenzenu., utakufa bure 😝 😝 😝 😝 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Before...,


After..,

The best 007 kalilie kwa choo..,πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Kimwarer n Arro Dams ziko wapi?
 
Idiot. Kenya's cement consumption in six months is almost equal to Tanzanian cement consumption in 12 months.

View attachment 2369538View attachment 2369539
Huu ukweli ndio hawataki.., propaganda ndio zao.., miezi sita yetu ndio mwaka mzima kwao., I guess they think production translates to consumption, nangoja walete data ambayo najua watakwepa.., idiots


 
Bado ni vumbi la udongo msekundu tu hamna kitu hapo
inaitwa maumivu na wivu, baada ya wenzako kuumbuliwa kwa ku post porojo ili kujaribu kupotosha kama ilivyo kawaida yenu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
inaitwa maumivu na wivu, baada ya wenzako kuumbuliwa kwa ku post porojo ili kujaribu kupotosha kama ilivyo kawaida yenu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo kwa macho yako unaona kupo clear?hakuna vumbi la huo udongo mwekundu ?
 
Only 30% are connected to the electricity yet Tanzanian government can't still provide constant power to them. These are the characteristics of LDC.

View attachment 2369551
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ these buffoons are such a low life kwa upana na urefuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa hiyo kwa macho yako unaona kupo clear?hakuna vumbi la huo udongo mwekundu ?
So wewe unatakaje? unataka udongo mweupe wa pwani iwe kiambu? tatizo lako ni udongo kumbe? sio barabara?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
5 meter stretch
Sehemu tofauti tofauti ya "Mwanza" kilaza.., , zoea..,

From Kisumu CBD to the airport onwards to Kenya Uganda Busia border.,



Nyamasaria Interchange, from Nairobi, entering Kisumu from East..,


Kondele Flyover..,


Mamboleo Interchange..,

Mamboleo n Kondele interchanges...,
 
Jamaa ni mjinga. Anafanya nishangae kama filters ndio zimeweka hizo road markings na street lights. Reasoning with watchman is one hell of a task.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…