Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ma-jobless wa nairobi wametoweka ghafla...wanaugulia maumivu.
 
chamoto wanyorishee....
Tatizo la hawa jamaa zetu ushamba umewazidi, wanajifanya kupenda mambo ya kusadikika kama 'uzungu koko' wakati wao ni waafrika (Njonjo). Na hii ni hulka ya wakenya wengi.

Ukiwaambia kuwa sisi tunaona fahari kukaa kwenye nyumba zetu za kiswahili, wao wanaona kukaa kwenye apartments ndiyo maendeleo. Yaani ushamba ushamba tuu, wanajifanya kujua kiingereza wakati wengi wao matamshi yao mabovu, ukija kwenye kiswahili ndiyo balaa, wanajitia kimbele mbele eti wanazungumza kiswahili fasaha wakati hawakijui, ukiwasahihisha wanasema eti hii ni "sheng".

Ila, wale waliotembea kidogo huwa hawana huo ushamba wa kikenya, wanakuwa na tabia kama za kibongo (unyenyekevu).
 
usituchoshe bana....
 
el matador na sadiki,
ambieni ma-jobless wenzenu hapo nairobi waache ukora....stop terrorizing the CBD area..otherwise mtakula copper....hessy huwa hatanii na hataki ujinga...mtajua hamjui.you have been warned.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
this building is usually underrated...very beautiful...one of the most beautiful in downtown in my view.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…