hahaaa....hizo pengine tuzifananishe na kizingo,ganjoni na nyali.haziezi ligi za nai bossTufanye hivi masaki na oysterbay ipambane na iyo mitaa yenu mikali Nairobi then tukiona mnaupepo tutaongeza mikocheni na mbezi beach
huko ndio wanaishi wale majority of kenyans wanaohangaika kutafuta job CBD?.[emoji23] [emoji23]Runda ,kitusuri,Msongari ,kileleshwa pekee hamuezani what about LAVINGTON
porojo hii sasa....[emoji23] [emoji23] [emoji23]ata 3m kenyan shilling trust me ni mob sana kujenga hizi vitu.....hehee
3m ksh nikama 60 million tsh...una nyumba nzuri sana tz kushinda hizo unaeka hapoporojo hii sasa....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
good...lazima ukubali...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]una nyumba nzuri sana tz kushinda hizo unaeka hapo
ivi we waishi wapi... ?.....maana ulivyo tu waonekana hadhi yako ni local sana katika hii dunia...[emoji13] [emoji13]3m ksh nikama 60 million tsh...una nyumba nzuri sana tz kushinda hizo unaeka hapo
Prove unachosema sasa tuweke maneno kandoRunda ,kitusuri,Msongari ,kileleshwa pekee hamuezani what about LAVINGTON
ata hujaelewa nimesema nni au umechukua hio part moja peke yake ili ujichekeshegood...lazima ukubali...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
home kwetu ni msa but saa niko nyayo embakasi...ukitaka zaidi nitafute ntakuelezaivi we waishi wapi... ?.....maana ulivyo tu waonekana hadhi yako ni local sana katika hii dunia...[emoji13] [emoji13]
nadhani wewe ndio hujanielewa...umekurupuka tu kuni- qoute kwa hasira...[emoji23] [emoji23] [emoji23]home kwetu ni msa but saa niko nyayo embakasi...ukitaka zaidi nitafute ntakueleza
bado.....sana ila guda guda........wakenya wengi mpo kilocal......ni washamba sanahome kwetu ni msa but saa niko nyayo embakasi...ukitaka zaidi nitafute ntakueleza
kadoda vipi tena...umeamka kuvuta bangi nni???hiyo msg haikuwa yako unakurupuka kuiquote...bangi sio appetizer ndugunadhani wewe ndio hujanielewa...umekurupuka tu kuni- qoute kwa hasira...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mtazamo wako huo....hivi huyo kwenye avator niwewe...heheeebado.....sana ila guda guda........wakenya wengi mpo kilocal......ni washamba sana
hapo sipo......nipo nyuma kabisa ....sionekani hapomtazamo wako huo....hivi huyo kwenye avator niwewe...heheee
mtazamo wako huo....hivi huyo kwenye avator niwewe...heheee