Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

we kadoda leta vitu vya maana kama hivi
mbona nyumba zinafanana....ina maana wote wanaoishi kwa hizo nyumba,wanalipa rent kwa mtu mmoja?.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

leta nyumba zisizofanana zinazo milikuwa na wakenya wa kipato cha kati hapo nairobi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Zinafanana na kota za polisi kule Bomang'ombe Hai -Kilimanjaro

Nyumba za kujishkiza tu izo sijui uko kwenu Ndio mnaona mmefika
hahaaa...tulia dawa ikuingie.kama vile mnavyopenda kusema
 
ukitaka kuamsha hasira za wakenya wa Nairobi,ulizia kuhusu nyumba zao binafsi wanazomiliki...lazima watoe povu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
sababu zako peleka kule...kwani wanaoishi apo ni paka.....
 
"wasee" wa kulala kwa bedsitter.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
"wasee" wa kulala kwa bedsitter.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bedsitters are in every civilized city.That's where most young people start from
 
Zinafanana na kota za polisi kule Bomang'ombe Hai -Kilimanjaro

Nyumba za kujishkiza tu izo sijui uko kwenu Ndio mnaona mmefika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji33]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…