Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣🀣🀣🀣🀣, Dah, Moshi town ni winner kwa hii battle
Umekosa jibu kwa Kisumu kutoka Mwanza, Arusha na Moshi combined kujibu what I posted.., kwa maneno hujambo Mr. domo domo, nitaendelea kukunyonga hadi unyookeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Umekosa jibu kwa Kisumu kutoka Mwanza, Arusha na Moshi combined kujibu what I posted.., kwa maneno hujambo Mr. domo domo, nitaendelea kukunyonga hadi unyookeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Utahangaika kuongea vitu vingi, Kisumu league yake ni Moshi town.. hutaki meza visu
 
Thika town..., yaani muonekano wa miji za Kenya ni tofauti sana na za bongo..., defined by class and status!









Makazi ya kawaida has almost same looks.., hapa Thika hakuna tofaui na za Kisumu, Nakuru, Machakos ama Eldoret, na kwingineko..,
 
Jibu so hili au .? πŸ‘‡ . 🀣🀣🀣
Sawa narudia tena swali: kwa hiyo clip nionyeshe haya πŸ‘‡ πŸ‘‡ maeneo?.., na pia toa jibu kutoka Mwanza, Arusha, Moshi na Dodoma combined, mimi sina haraka.., nangoja tu ata kama itakuchukua miaka kumi.,πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚







 
Kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake... Moshi town ni zaidi ya Kisumu ...
 
Kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake... Moshi town ni zaidi ya Kisumu ...
Umepata jibu??? Bado sioni chochote?.., 🀣🀣🀣🀣 utalilia kwa choo raundi hiiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œ ukipata jibu post evidence Kisha nitag., usipoteze mda.,
 
Umepata jibu??? Bado sioni chochote?.., 🀣🀣🀣🀣 utalilia kwa choo raundi hiiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œ ukipata jibu post evidence Kisha nitag., usipoteze mda.,
Unajisemesha na battle ilishaisha mkuu
 
Unajisemesha na battle ilishaisha mkuu
Jibu?????, bado unatafuta ama?., pole dogo, ulijaribu kutafuna kile usichokua na uwezo wa kumeza, pumzika sasaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…