Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa tu haina long dual carriageway kama ya Mwanza

Longest Dual Carriageway in Mombasa - 25.55km



Longest Dual Carriageway in Mwanza 8.7km



Wacheni kufananisha Mombasa na vitu vya kipuuzi. Yaani hamna mji unaokosewa heshima humu kama Mombasa. Mwanza hata Nakuru haufikii.

Longest dual carriageway in Nakuru - 15.81km


Kisumu pia unawapa kichapo. l ongest dual carriageway in Kisumu - 15.09km


Mambo ya dual carriageway hamyawezi. Wachaneni tu nayo.
 
We jamaa Dom inapiga hizo takataka zote zenye una mention hapo
 
Hata barabara za miji tu Tanzania na kunyaland hazifui dafu in matching, barabara za miji masikini Tanzania mfano kama Singida zina kilometers nyingi kuliko mji wenu Mombasa

Hopefully haukusoma hii 👆 Post, usitaje upuuzi unaoitwa lordwar mbele ya Singida likija suala la barabara
Hiyo ndio mmetuonyesha eti mnajisifu nayo kumaanisha hiyo ndio bora zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…