Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

go through that 'Jamal' guy's timeline.... you will realise that he has never been serious even for a second
he is depicting the characteristics of many kenyans on twitter.[emoji23] [emoji23]
 
wakenya hamuishiwi vituko...huwa mnatuonyesha picha za magari ya kifahari yanayoonekana katika barabara za nairobi,kumbe mengine ni magari fake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Uo ndo ukweli ata mimi niko apa dsm amna kitu apa pumba tupu,usafi ziro iyo migorofa yenyewe si umeona ilivyorundamana kama taka,unaweza compare na za nairobi?,waambie tuendelee na hapa kazi tu za shambani kimuonekano mji ni sifuri.
 
heri wewe umeweka ushabik kando na kusema ukweli mkuu...wengi hapa wana la kujifunza toka kwako
 
Uo ndo ukweli ata mimi niko apa dsm amna kitu apa pumba tupu,usafi ziro iyo migorofa yenyewe si umeona ilivyorundamana kama taka,unaweza compare na za nairobi?,waambie tuendelee na hapa kazi tu za shambani kimuonekano mji ni sifuri.
kajifunze kuongea na kuandika ndio uje hapa . dar hatuna vilaza kama wew
apa=hapa
uo=huo
iyo=hiyo
migorofa=magorofa
ilivyorundamana=ilivyo rundikana
 
Bongo sifuri miji imekaa ovyo bila mpangilio mvua zikinyesha ni kuchafu hamna kitu acha kuwasumbua wakenya ni wakubwa zetu.

Uo ndo ukweli ata mimi niko apa dsm amna kitu apa pumba tupu,usafi ziro iyo migorofa yenyewe si umeona ilivyorundamana kama taka,unaweza compare na za nairobi?,waambie tuendelee na hapa kazi tu za shambani kimuonekano mji ni sifuri.
some of us know the reason why you are are....you are looking for a kenyan boyfriend,nothing else.[emoji23] [emoji23]
 
kajifunze kuongea na kuandika ndio uje hapa . dar hatuna vilaza kama wew
apa=hapa
uo=huo
iyo=hiyo
migorofa=magorofa
ilivyorundamana=ilivyo rundikana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila nadhani nimeeleweka mkuu
 
she is searching of a kenyan boyfriend..hopping to get one from this thread...i think you and her can make a good couple.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Bongo mvua zikinyesha ni kuchafu
we binti,ni nani alikwambia nairobi mvua ikinyesha kunapendeza?.

tatizo lako akili yako yote umeilekeza katika kutafuta boyfriend/bwana wa kikenya,hata huitumii katika kufanya utafiti.

nadhani hujawahi kuona vile nairobi "inakuwanga" kukinyesha.
embu tazama hii[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Achawaje na matusi wale wanamutusi huu ni ukweli watu kama hawa ndio huawanaaibisha neno la mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…