Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I wonder what kind of teachers you have in Tanzania. Jamaa amesema ati KQ is great sasa sijui hiyo most successful in Africa umetoa wapi.
Great na successful kuna tofauti gani? Tena great ni more superlative adverb
 
Hii picha Sijui umeenda kuipaka vitu gani kwa roho mbaya mbwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa wanafubaza picha alafu wanazipost c unajua jamaa usiku kucha wanaiwaza Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Great na successful kuna tofauti gani? Tena great ni more superlative adverb
Ungefika hata kwenye gate ya chekechea ungejua kwamba greatness and success are completely two different things. Success is earned while greatness is just perception.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…