Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

porojo....umepatwa na aibu.usirudie tena kuongea ujinga bila kuwa na uhakika.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Lakini sidhani mnaweza shinda any important international medals za swimming
 
Lakini sidhani mnaweza shinda any important international medals za swimming
ni kweli...endelea kubaki "usidhani...hata BRT wakati inajengwa,baadhi ya wakenya walibaki wakisema "hawadhani".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
safi kiswahili.....chetu ..tu kinatutosha huyo ndiyo .....kaka yao east africa nzima
 
ni kweli...endelea kubaki "usidhani...hata BRT wakati inajengwa,baadhi ya wakenya walibaki wakisema "hawadhani".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hamna any internatioal swimming sporting award btw
 
football, rugby, volleyball, swimming, cricket(2003 world cup semifinalists btw) n.k Hizi ni global events kaka
zimewasaidiaje kuwaondoa katika chuki za ukabila miongoni mwenu na uhaba wa sembe?.[emoji23] [emoji33] [emoji33]

najua hukutegemea kuulizwa swali hili usiku huu.
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
zimewasaidiaje kuwaondoa katika chuki za ukabila miongoni mwenu na uhaba wa sembe?.[emoji23] [emoji33] [emoji33]

najua hukutegemea kuulizwa swali hili usiku huu.
Such a moron.
Kubali hamna any international medal of any kind...
Sisi tunafinyana kwa streets kila siku na WORLD RECORD HOLDERS kina Yego, Rudisha, Kemboi, Cherono, and a hundred more
Tuna Singapore 7's champions hapa,African volleyball champions, soccer champions, Rally drivers tumekuwa tuki plan, host and win for half a century, golfers, archers, swimmers, baskeballers, horce racers and polo... Vitu zingine mnaonanga tu kwa tv wacha hata ku participate.
 
wakenya kumbe mnafuga nyuki hadi nairobi CBD!!!?...i never thought such a place could have bees....hii itabidi muitolee maelezo vizuri....nyuki CBD!!?..hapana..hai-make sense...big shame.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…