Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujui unachozungumzia. Hakuna mtu aliyeturudisha nyuma kiuchumi kama Moi. Hio ndio fact isiopingika. Tulipoteza miaka 24. Saa hii tulistahili tuwe mbali sana.
Aliwapa hasara gani ya kiuchumi?
Tanzania uliokua inatenga 30% ya revenue collection zake on each cent we made kwenda southern Africa liberation movement isemeje? Bado vikwazo vya kiuchumi kwa mabeberu kutokana na Tanzania kwenda kinyume nao?
 
Aliwapa hasara gani ya kiuchumi?
Tanzania uliokua inatenga 30% ya revenue collection zake on each cent we made kwenda southern Africa liberation movement isemeje? Bado vikwazo vya kiuchumi kwa mabeberu kutokana na Tanzania kwenda kinyume nao?
Sahv wanatuona mafala jamaa
 
Very good points.
 
Mnapenda propaganda sana. Miaka 60 baada ya uhuru bado mnasingizia wazungu. Wacheni ujinga na muanze kufanya kazi kwa bidii. Pia muwache kuchagua viongozi wabaya.

Nyie mlipewa elimu mbovu kwaajili ya kutumikia investments za wazungu waliowekeza Kenya (yaani elimu ya kuwa cheap labors) hivyo uwezo wenu wakufikiri na kuchanganua mambo ni mdogo sana.

Kifupi ni kuwa, you have all been destabilized mentally na only the smartest among you wanalijua hili na walianza kushughulika nalo taratibu.


One of our biggest achievements after independence is breaking the chains of mental slavery.
 
Hamna kitu kama kucheza kama Pele, viongozi wa afrika tusipojitambua na kushikamana tutandelea kuwa dependent to western countries milele
 
an example of the influence, the boers (wheat farmers) from south africa had on eldoret town👇🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…