Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku hizi huwa sibishani mambo ya kipumbavu wkt picha ziko wazi.
Yaani mjukuu wewe una make conclusion based on picha? different camera angles creates a deceptive perception in most cases, check the measurements na capacity wacha ushamba banaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Duuh!!!! Kweli umepotea
Nimepotea vipi na yenyu ni ya abiria kwanza, a slay queen like train sio ndume la kazi, bado mna kazi ya kuunganisha kwa port, August ndio hii imefika trains bado!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Still under construction mzee.., ngoja iishe tujue.,
Hata ikikamilika huo uwanja hautoweza kamwe hautokidhi vigezo , vitu vyenu vingi ni vizuri kwa picha ila ukiingia ground kwenye reality ni tofauti
 

Penda ukweli mjukuu, hautapigwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Hata ikikamilika huo uwanja hautoweza kamwe hautokidhi vigezo , vitu vyenu vingi ni vizuri kwa picha ila ukiingia ground kwenye reality ni tofauti
Utashangaa.., kama vile wenzenu wanao fika huku na kushangaa
 
Utashangaa.., kama vile wenzenu wanao fika huku na kushangaa
Kwa Afrika ukiitoa South Afrika,cairo na Tanzania hakuna sehemu nyingine ya maana itakayonifanya nishangae na kuona jipya sababu city zote za nchi zilizobakia niuchafu tu ikisemo kenya
 
Kwa Afrika ukiitoa South Afrika,cairo na Tanzania hakuna sehemu nyingine ya maana itakayonifanya nishangae na kuona jipya sababu city zote za nchi zilizobakia niuchafu tu ikisemo kenya
Tanzania ipi hii hapa ya CBD moja kando yake nyumba za waarabu? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ CBD moja tu, alafu the rest 80% wacha nisiseme, google earth iko tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Tofauti ni wazi sana..,

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…