Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Unataka kusema WHO Tanzania hawajui kama ni Ebola muda wote huo sioTanzania experts probe deadly unknown illness [emoji3544]
13 cases have been reported in Lindi, with patients having symptoms similar to Ebola or Marburg.
3 of them died.
Fever, severe headaches, fatigue and bleeding, especially from the nose.
#PrayForTanzania
#TanzaniaIsNotSafe
#EbolaInTanzania
hawa wanafanya yote haya kusudi lao kubwa ni kuharibu utalii tanzania kwasababu kwao utalii ulishakufa na mwandishi anaeandika hayo BBC swahili ni mkenya lakini wamegonga mwambaUnataka kusema WHO Tanzania hawajui kama ni Ebola muda wote huo sio
Mbona jengo lina design nzuri? Hivi unakumbuka Kilimanjaro Hotel na Novotel Mt Meru kabla hazijawa Kempinski na Hyatt na Mt meru Hotel? Sasa kama zile hoteli ziligeuzwa zikawa slick facilities mbona tuvunje JNIA Terminal II? Tembea uone mzee!Yeah, wangepiga chini hiyo kitu.
Tests zinaonesha si ebola kwahio ni virus mpya ambayo haijulikani. Ningependekeza waiite the 'tanzania virus' ama ' SerengetiVirus'Unataka kusema WHO Tanzania hawajui kama ni Ebola muda wote huo sio
hebu tuletee evidence na sisi tuoneInternational pandemic bodies are suspecting ebola, time will tell.
aliefanya hzo test ni nani mama ngina au 😂😂😂😂😂Tests zinaonesha si ebola kwahio ni virus mpya ambayo haijulikani. Ningependekeza waiite the 'tanzania virus' ama ' SerengetiVirus'
hebu tuletee evidence na sisi tuone
nisome wapi nasubiria evidenceSoma hapo juu👆👆
Copied from twitter, for more nenda bbc.comnisome wapi nasubiria evidence
Your towns are so clean. Congratulations!
Huyo ndio mid income wa kunyaland 😀