Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's not even in Dar. It's in Zanzibar
Hicho choo mnachojitapa nacho humu Laiti mngefuatilia hii page muone mijumba inayojengwa bongo mngejiona kiasi gani mlivyo ******* kujilinganisha na Tanzania linapokuja suala la luxury homes and anything luxury

Ninyi mmetupita kwenye yale maghorofa ya udongo yasio na dirisha kama ya Baghdad

 
"Jinsi walivyo wabinafsi "nimekuelewa, fasihi imetumika ipasavyo kufikisha ujumbe kwa wanasiasa wa Kenya. [emoji1666][emoji1666]
 
Hata mimi nimemuelewa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
"Jinsi walivyo wabinafsi "nimekuelewa, fasihi imetumika ipasavyo kufikisha ujumbe kwa wanasiasa wa Kenya. [emoji1666][emoji1666]
Mimi naamini wanasiasa kote duniani ni wabinafsi. Hata huko kwenu hali ni vivyo hivyo.
 
Unataka kulinganisha huu uchafu to what I have shown you, 😂😂😂 like seriously.? Hiyo nyumba ni super luxury villa hakuna kenya nzima
Show me anywhere in that video they've mentioned that it's worth $10m.
 
Kibera ni kubwa sana na ndio slum kubwa Africa, hilo kwamba mumejenga kilometers 28 ni kamba tu ila Kibera ni kubwa sababu ni independent parliamentary constituency it's a whole district by population
Kwa hivyo it's no longer 2.5 square kilometers? Sawa basi wewe unajua, ina ukubwa wa kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…