Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nazipokea sifa zote hizi kwa moyo mkunjufu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Package yao nazidi kuiboresha siku hata siku mpaka wote wanilime block [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duuhhh aisee kumbe Tabora noma kwenye planning namna hii, hapa mm nawaambia ka Nairobi hakatoboi kwa planning vs Tabora.
 
Aliyepiga hizo picha! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kawavua nguo, huwa wanapiga picha za upande upande kuongopea watu wamesahau dunia ya sasa ngumu kuongopa [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sisi Wakenya kupiga kelele ndio kumewafanya mkawapa majumba na title deeds na free transport. Otherwise mlikuwa muwauwe kabisa na kukosa kuwapa fidia.

Sikujua kama wewe ni mbaya sana kiasi hiki. Tangu lini serikali ianze kuua raia wake kwa uwingi huo!!??
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Umekosa pictures za mikoa inayo pambana na kipoison yenye slums mithili ya kipoison?

Kunyaland slums kingdom haina ubavu wa kupimana na Tanzania

Hii ni Tabora, chini ni slums za Kisumu

Tabora



Kisumu slums

 

Attachments

  • images - 2022-06-16T062540.790.jpeg
    38.1 KB · Views: 30
Duuhhh aisee kumbe Tabora noma kwenye planning namna hii, hapa mm nawaambia ka Nairobi hakatoboi kwa planning vs Tabora.
Tabora inaipiga Nairobi Asubuhi na mapema tena just imagine Nairobi pekee ndio mji wao uliokuwa planned yet upo vile ambapo hata Musoma unaweza kuuchallenge kwenye planning, vipi counties nyingine zote kunyaland ambazo hazipo planned πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ati hi ndo Kisumu inashindanishwa na Mwanza na Arusha city? ndo maana inaitwa "Ki-poison"!
CC: Tony254 n nairobae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…