LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Asante kwa renders😀😀😀😀sawa basi...tupambane tu ila si mnajua tu nani atashinda...kwanza hata kwa u/c tumewachapa mpaka Joburg sembuse Dar...the pinnacle, avic, montave na prism..
Kwani nyie mnaorudia britam kila wakat au unaona hatuoni😀😀😀😀😀😀nice pics...sasa picha kama hizi ndio mnafaa mlete...sio kila mara TPA na PSPF...mnafanya mji wenu ukae kana kwamba hauna mijengo mingine..kuna wakati Nairobi picha zilkua tu ni KICC na Times Tower...ila baada ya Upperhill na Westlands ku upgrade, sasa tuna variety...
WOW...Now introducing the real beast, Amara Ridge by Cytonn
Nearing Completion
Dayum.Now introducing the real beast, Amara Ridge by Cytonn
Nearing Completion