Wakuu tupeane channel bhana..Japanese ni watu smart sana...sisi tutaendelea kuagiza magari kwao kwa miaka mingi sana mbele....yani wanajua wanachokifanya!! Africa jamani bado sana...
BTW naona watu sasa wameamua kuagiza magari hawataki ujinga ....watu tunakunywa weekend moja laki 2 tushindwe kujaza fozzy mafuta?
You said the same thing about that expressway mwishowe ndio hii hapa inakunyima usingizi. Lazy bone!Na haitokaa iwe built tupo hapa!
Ndio imetoka hiyo
Tena "harambee" haiku originate from Tanzania? 🤔Harambee is an indian word (from Hindu language) introduced by the indian worker while building Mombasa-Kampala railway!
Wewe unafikiri miundombinu is all about building a brt that snakes its way through uswazi hovels?Sawaa we can see it 😂😂 kwa ground.. instead of using these keyboard worrier's fake data, unaweza onesha hizo miundombinu zenye burudi is said to be ahead of us..?
Acha kuongea sana we mpuuzi kama hujui chochote u better be silent, burundi ni wadogo zetu and everybody in the world knows that, except you fool, tunawasaidia Burundi in every single aspect of life,na ndio maana suggestions za SGR tuliwapea and we gon definitely connect them ready to transport them cargos from Dar Port.. tunasafirisha mizigo yao kwa mabasi, n.k .. kwakifupi Burundi ni kama tumewaweka under better controlif their's a country, that i realy pity so much, it would be burundi..... burundi is sooo silent.. you'll not hear anything much about it, you never see or hear any head-of-state visit tht country, you'll rarely see or hear bout their president. i've never known wht burundi produce or manufacture. think bujumbura is among the least publicised cities in the continent.
but i think tanzania should be the one incharge of supporting this country. actualy in all circles; economically, political, socialy, but instead you ll find these Tzs make a laugh at it again.!🤔
All Swahili words are originated from Tanzania, except zile maneno zenye tume borrow kwa foreigners ..Tena "harambee" haikuoriginate from Tanzania? 🤔
Sawaa we can see it [emoji23][emoji23] kwa ground.. instead of using these keyboard worrier's fake data, unaweza onesha hizo miundombinu zenye burudi is said to be ahead of us..?
Leta hizo miundombinu ambazo ni tofauti of what you saying zenye burudi them above usWewe unafikiri miundombinu is all about building a brt that snakes its way through uswazi hovels?
Japanese ni watu smart sana...sisi tutaendelea kuagiza magari kwao kwa miaka mingi sana mbele....yani wanajua wanachokifanya!! Africa jamani bado sana...
BTW naona watu sasa wameamua kuagiza magari hawataki ujinga ....watu tunakunywa weekend moja laki 2 tushindwe kujaza fozzy mafuta?
😂😂😂 Ndio niwaulize hapa nichekeMwambie akutajie hizo infrastructure tucheke. [emoji23][emoji23][emoji23]
Continue dreaming.All Swahili words are originated from Tanzania, except zile maneno zenye tume borrow kwa foreigners ..
We fanya ufanyalo, tafuta hata article buku, ila huo ndio ukweli and u will never change it.. Kiswahili is ours and kwasasa karibu watanzania wote tuishio mjini Kiswahili is our first language (mother tongue)Continue dreaming.
Hata ulinzi tunawapatia bila shaka yoyoye lasivyo wangeshapigwa na kupinduliwa serikali yao na kuweka vibaraka wao.Acha kuongea sana we mpuuzi kama hujui chochote u better be silent, burundi ni wadogo zetu and everybody in the world knows that, except you fool, tunawasaidia Burundi in every single aspect of life,na ndio maana suggestions za SGR tuliwapea and we gon definitely connect them ready to transport them cargos from Dar Port.. tunasafirisha mizigo yao kwa mabasi, n.k .. kwakifupi Burundi ni kama tumewaweka under better control
Most definitely.. hao burundi ni wadogo zetu wa damu hatuwezi waachaHata ulinzi tunawapatia bila shaka yoyoye lasivyo wangeshapigwa na kupinduliwa serikali yao na kuweka vibaraka wao.
Wakati wao wanashangilia vitu vdg kama the dust and Chinese low quality owned express way cc tunazidi kuvunja records za mambo ya msingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Google ndiyo credible source au sio? Kweli elimu yenu hovyo sn, eti ww ni engineer[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uliza Google sio mm
Hiv bro na hizi magari tuna record kule kwenye tonnes, annual report.?Wakati wao wanashangilia vitu vdg kama the dust and Chinese low quality owned express way cc tunazidi kuvunja records za mambo ya msingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati wao wanashangilia vitu vdg kama the dust and Chinese low quality owned express way cc tunazidi kuvunja records za mambo ya msingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂 Eti Chinese low quality owned express way .. ndugu zetu wanaonewa sana na mchinaWakati wao wanashangilia vitu vdg kama the dust and Chinese low quality owned express way cc tunazidi kuvunja records za mambo ya msingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]