The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Akitoe wapi, af uyo co dogo ana 35+ sema shida zimemkomaza, wabongo tunasema kadumaa kama Wakenya wengi walivyo kutokana na lishe duni inayopelekea utapia mlo.Kwahiyo dogo hana hata kitanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inaitwa Dongo Kundu international airport [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
chongchung anawapa punch za hatari mpk mnamhara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe ni mpotoshaji bingwa humu ndani, unapindisha uongo ionekane ni ukweli, ume cherry pick picha kueneza propaganda, dunia ya leo danganya wenzako pale vijiweni sio sisi.., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2213663
View attachment 2213664
View attachment 2213665
View attachment 2213666
We angalia tu vitu wanavyopost,mkenya mwenye kumiliki nyumba na gari watoto wakasoma shule nzuri huyo ni tajiri,huwezi kumkuta jf hapa hata siku 1,while Tanzania maisha kama hayo ni mtu wa kawaida mno tena mno,kunyaland life tough bro asingekuambie mtuKuna kamoja tunakaita ka Bwana Mapesa just imagine na mdomo wake mpana alafu kangekuwa japo na nusu ya life ya Watz wa humu sijui ingekuaje mkuu, hapo kalipo kanatamani japo kangekuwa hata na kitanda kinachoeleweka kapost humu sema ndio hvyo Mungu fundi kameishia kutumbua mishipa mpk leo licha ya kuwa na miaka zaidi ya 30.
Embu tuhesabu ndege hapo uwanjani ziko ngapi?Inaitwa Dongo Kundu international airport [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2213793
Hamna slums because 80% of the city ni slums so slums is the normal for you.
Pole sana kwa kujiaminisha Dar haijapangikachongchung ile siku Dar utapata such dense and well built residential area nitag mwenzangu, usiogope, kubali kauli ya baba levo, ngojeni miaka ishirini na tano mbele., na uombe kenya iwe imesimama kwa huo mda wote, mko na mwendo sana😂😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2213692
View attachment 2213687
View attachment 2213683
View attachment 2213684
View attachment 2213685
View attachment 2213686
View attachment 2213689
mchina ameibuka huko na chata lake, hongera
Hii ndio kupangika ama?
Lete evidence from a credible source tukuunge mkono.Hamna slums because 80% of the city ni slums so slums is the normal for you.
Wamezoea kupiga vijipicha from high altitude ili ionekame Dar ni kama slum city yao.Pole sana kwa kujiaminisha Dar haijapangika
View attachment 2213809
View attachment 2213810
View attachment 2213813
View attachment 2213814
View attachment 2213815
View attachment 2213816
So those are the best planned areas in Dar? 🤣 🤣 🤣Pole sana kwa kujiaminisha Dar haijapangika
View attachment 2213809
View attachment 2213810
View attachment 2213813
View attachment 2213814
View attachment 2213815
View attachment 2213816
Hii ndio kupangika? 🤣 🤣 🤣
Ndio hii hapa evidenceLete evidence from a credible source tukuunge mkono.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Heeheee
Kama Wakenya wengi ni masikini wa kutupwa kama unavyosema basi iweje bodies zote tajika duniani zinakubaliana kwamba Kenya ndio nchi tajiri zaidi ukanda huu? Nazungumza kuhusu IMF, World Bank, UN, OECD, CIA na kadhalika? Whether unataka kutumia gni per capita, Kenya ina gni per capita yaWe angalia tu vitu wanavyopost,mkenya mwenye kumiliki nyumba na gari watoto wakasoma shule nzuri huyo ni tajiri,huwezi kumkuta jf hapa hata siku 1,while Tanzania maisha kama hayo ni mtu wa kawaida mno tena mno,kunyaland life tough bro asingekuambie mtu
Upo lock down ama?Kama Wakenya wengi ni masikini wa kutupwa kama unavyosema basi iweje bodies zote tajika duniani zinakubaliana kwamba Kenya ndio nchi tajiri zaidi ukanda huu? Nazungumza kuhusu IMF, World Bank, UN, OECD, CIA na kadhalika? Whether unataka kutumia gni per capita, Kenya ina gni per capita ya
$2,200 wakati nyie mna gni per capita chini ya $1,200. Mumetoka Ldc juzi tu.
Ukiamua kukimbilia kwenye HDI huko pia tunawapiga kama mbwa kwa maana kwa mujibu wa UNDP Kenya ina HDI ya juu kushinda Tanzania.
Sasa huo utajiri wenu ulioshinda wa Kenya unatokea wapi? Tukiangalia data strictly na tuweke ushabiki kando basi Kenya imewashinda kwenye metrics nyingi za kiuchumi. Ila kwa sababu data inaonyesha Kenya ipo mbele yenu kwenye mambo haya, inawabidi mpuuze data na kusema kwamba data hio ni ya kwenye makaratasi ili kufurahisha nafsi zenu. Ila hata investors wanaosoma hizi data wanajua kwamba Kenya ipo more developed than Tanzania kwenye mambo mengi.
Hio ndio maana makampuni mengi tajika zinakimbilia Nairobi na hata zimeanza kususia South Africa kwa kiasi fulani. Google kwa mfano ilisusia kuanzisha ofisi yake ya kwanza ya research barani Afrika huko South Africa na kuamua kulianzisha Nairobi. Kwenye Twitter naona watu wa South Africa wanahisi wivu sana kwa kitendo cha Google kuchagua Kenya. Amazon, Microsoft, Oracle, IBM na other tech giants zimeanzisha their African office in Kenya. Endeleni kuamini kwamba Kenya ni size yenu ila data inaeleza wazi ni nchi gani ina a more developed economy kati ya hizi mbili. Haiwezekani kwamba kila international organisation tajika inakubali kwamba Kenya imewashinda kwenye haya mambo halafu nyinyi mpinge. Mnapinga kama nani?
Alafu eneo lililopangika Dar ni kubwa kuliko Kenya nzima.Pole sana kwa kujiaminisha Dar haijapangika
View attachment 2213809
View attachment 2213810
View attachment 2213813
View attachment 2213814
View attachment 2213815
View attachment 2213816