Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa lazima wapite kimya, JKIA baba lao
 
Have realized Tanzanians huwa wanaona haka ka terminal wanalinganisha na banda la kuku, wanadhani hii sasa ndio JKIA.., ila hawajui ni a section tu ya JKIA.,
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ€£πŸ‘‡ Watanzania kwa vioja hamuna mpinzani
 
Tanzania haijawai lisha Kenya, tunanunua, nyie hamujiwezi ndio mlishe eti, wacha kujitekenya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Sasa fukara na tajiri nani anaenda kununua kwa mwenzie, hivi unajisikia uharo unaoharisha leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Diamond hajafika miaka 35, kwa mkunya wa kawaida mwenye umri mdogo hawezi kumiliki simu na wala hawezi kuingia kwenye mitandao ya kijamii cz most of the time anakuwa anasumbuliwa na njaa.
 
Kila mtu ni mjinga duniani unless hujui the meaning of mjinga but mondy co mpumbavu cz hakuna mpumbavu mwenye mafanikio duniani, so ww ulikosa kufanikiwa because of upumbavu.
 
25 kilometers from CBD

Kunyaland slums kushoto kulia can't afford this

It's greenery for me 🌳🌲🌴🌱🌿🀩


Other than the main road, none of the access roads is tarmacked.
Na hii inakaa one of Dar's 'nicer' places. You have a long way to go.

Hapa Nairobi hata slums zimeanza kupata lami, na nyinyi bado mnakula vumbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…