Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

aisee wadanganyika tumewazoea sana kwa kuabudu hako ka nchi kenyu maxkini na serkali yenyu. tanganyika is a 'Self Proclaimed Developed Nation'
 

[emoji1787]Nina uhakika wakikaa hapo chini kwenye hilo Foleni kwa kuepuka 3,214 Tsh , hilo wese atakalopoteza anaweza kulinunua kwa hela nyingi zaidi baadae . Kwa hiyo Gridlock anaweza kanguliwa gari pia akapoteza muda mwingine na gari ikienda garage anarudi kwenye matatu [emoji1787].
I thought rich people only care about time[emoji41], Time is Money.
 
Chuki kati ya Kenya na Somalia huwa deep sana. Ukisoma comment section ya hii tweet utaona jinsi zaidi ya nusu ya Wasomali kwenye comment section wamekasirishwa na kitendo cha Villa Somalia ambayo ndio state house yao kutweet kwa kusema pole kwa kifo cha Kibaki. Kenya na Somalia hazitawahi kupatana.
 


Hahaha



Hii chuki ni deep sana halafu Wazembe wa South wanasema eti Somalia inastahili kujiunga na EAC? cc joto la jiwe The Sunk Cost Fallacy


Wanatokwa na povu kama ya Omo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…