Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kadoda Mrembo kama huyu akipanda matatu ya Kenya lazima atoke na bed bags. Mwaga picha za BRT Kadoda. Yani hadi raha. Mtoto anazigo lakuvunja chaga za kitanda. Mimi watoto kama hawa huwa nawapa kwanza dude walichezee alafu baadae ndo na wasukumia moto. Nikianza kuwa sukumia moto break huwa mapumbu. Inabidi uwaguse hadi kwenye kinena.
 
hey izo BRT uwa znakaa ivo heri to hii culture yetu y ma3
Yaani haziwezi jengwa kwa kupima? Zinafungwafungwa tu? Ona mistari kwenye hiyo barabara? Zigzag ni kama zilichorwa na mlevi. Iweje tena hivi?
Ona hii Barabara ya Nairobi vile nadhifu.

 
Hivi huyo ndio Mrembo wa Dar?? Anajifunga nywele za burugenge kishamba hivo?
 
wewe,, growth ya (tz) 7.2% x 50B ni Us$3.6B

growth ya (Ke) 5.7% x 75B ni Us$4.3B

difference = Us$0.7B
gap inapanuka au haipanuki???

grow at 10% first while Ke grows at 3% then come we talk.
Kwanza hata hujui uandikacho embu toa majibu ya 5.7% × 75B kama sio mnakuwa zaidi ya south africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hey izo BRT uwa znakaa ivo heri to hii culture yetu y ma3
We jamaa unaonekana mbinafsi kama wanjala tu....itawachukua muda mrefu sana kua na usafiri wa kisasa Apo Nai, mnabarabara pana ila jam kibao jiulize what is the use?Dar highway zipo kibao tu nyingi Za 4lanes ...wakat tunawork on flyover now pia tunaandaa expressway moja yakuingia na kutoka Dar hadi chalinZe km128 itakua na 6lanes lakini itakua toll road..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilisema idea ya BRT for Dar was and will remain noble for a long time. Ile tu sikuridhika nayo ni kuundwa au uzuri ya barabara yenyewe
 
Hahaha, I can laugh at you when you say such things. Look at My rural home of bungoma and ask yourself if Maize can be a problem at all
hamna kitu hapo....tazama hii uone raha ya LDC katika food security.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Isewe kombokombo hivo. Mbona?
Umewahi kuiona lakini hii barabara? Wewe unataka inyooke kama rula kwani hiyo ni meza? Acha ushamba bana.

Fanya research kwanza kabla ya kuanza kulia lia.
Angalia watu walioendelea na BRT sasa. Wapi pamenyooka kama meza?

 
mtu kutoka taifa la uhaba wa sembe,tazama hii uone raha ya LDC katika food security.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mtu kutoka taifa la uhaba wa sembe,tazama hii uone raha ya LDC katika food security.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…