Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijaelewa swali lako. Unauliza iweje Kenya nchi ya Afrika iwe na gdp kubwa kushinda Luxemboug nchi ya Europe?
Nina huzuni mkubwa kusema kwamba nimegoogle population ya Luxemboug na nimepigwa na butwaa ya mwaka mzima. Yaani population ya Luxemboug ni watu 634,000 pekee ilhali ina gdp karibu sawia na ya Kenya? Yaani gdp per capita yao lazima iwe ni the highest in the world. Luxemboug licha ya kuwa na watu chini ya milioni moja, wana gdp kubwa kushinda Tanzania? This world is so unfair. Yaani naaibika kuwa Mkenya na Mwafrika kwa ujumla.
 
Nimesoma mtandaoni sasa hivi kwamba Luxemboug wana a very strong banking industry kama tu ile ya Switzerland. Matajiri duniani kote wanakwenda kuficha pesa zao huko kisha serikali hiyo inatoza kodi mali hiyo na kupata tax kwa wingi. Hii ndio maana nchi ya watu wachache hivyo inaweza kuwa na uchumi mkubwa hivyo.
 
Nani kakwambia ni speaker wa kwanza mwanamke hapa Tz?
 
Sijaelewa swali lako. Unauliza iweje Kenya nchi ya Afrika iwe na gdp kubwa kushinda Luxemboug nchi ya Europe?
Tofauti ya GDP ni $26,958.

Iweje nchi yenye watu 600K iwe na GDP kuribu sawa na nchi yenye watu 50m? Hata tukichukulia mauzo ya vyakula au matumizi ya umeme au huduma za simu, utaona makosa ya hizi GDP (nominal), haijalishi hata kama Lux wanauza unga.
 
Hawa Luxemboug ni mashetani kweli. Wamefanya nchi yao kuwa headquarters ya benki kubwa kubwa duniani. Eti benki saba kubwa za China zimeweka headquarters yao Luxemboug. Eti benki 24 za Germany zimeweka makao yao Luxemboug. Eti assets ya benki hizi ni mara kumi ya gdp ya nchi hii. Yaani benki zote duniani zinataka kuenda kuweka makao yao Luxemboug kwa nini? Itakuwa hawalipi tax na wanapata benefits nyingi tu kuweka makao yao Luxemboug.


Banking in Luxembourg - statistics & facts​

Published by F. Norrestad, Jan 7, 2022
Banking is a big contributor to the Luxembourg economy, with the total assets of the Grand Duchy's banking sector being over ten times bigger than the country's GDP in 2018. Over 90 percent of the industry's assets were not owned by domestic banks, but by foreign banks. Luxembourg features the most internationalised banking industry of the Benelux region, with over one third of the 135 coming from outside the European Union. In 2019, for example, 14 of all 129 banks located in the Grand Duchy came from China. This includes the seven largest Chinese banks: the Industrial and Commercial Bank of China, the China Construction Bank, the China Merchants Bank, Bank of Communications, the Agricultural Bank of China, the Bank of China and the China Everbright Bank. This presence was still less big than that of German banks, however, as Luxembourg housed 24 German banks in 2019. All these banks established themselves in Luxembourg to gain access to the EU internal market, using an EU passport for providing financial services across Europe. They particularly focus on private banking and asset management.
Read more
 
I thought that little Wilson could handle big shit as spoken here at JF. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


JKIA runway closed, flights diverted to Mombasa and Dar es Salaam

the-star.co.ke

Feb 23, 2022 3:00 PM

The runway was closed after an aircraft developed a mechanical hitch.


Jomo Kenyatta International Airport runway has been closed after an aircraft developed a mechanical hitch.

Officials have confirmed to the Star that flight departures and arrivals were affected with some diverted.

All Landing planes are being diverted to Mombasa and Dar es Salaam Tanzania as officials work to clear the Fly540 plane from the runway.
“All landing planes being diverted to Mombasa as officials work to clear the Fly540 plane from the runway,” said officials aware of the incident.

Kenya Civil Aviation Authority Director-General Gilbert Kibe said flight departures and arrivals were affected.
“Technicians are working on the issue to clear it,” he said.

Kenya Airports Authority said the closure of the runway was temporary.
“This is to confirm that the runway at JKIA is temporarily closed as crews respond to safely remove a disabled aircraft. Takeoffs and landings are on hold. Passengers are advised to check with their respective airline for flight status updates.”

Only small aircraft were able to take off from runway 24.
The operations were, however, restored around 9:20 pm paving way for normalcy.
"Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) runway has been cleared and opened. Normal operations have resumed. Passengers are encouraged to contact their respective airlines for their flight status," Kenya Airports Authority said.
The incident had caused much agony for travellers, especially those connecting to other destinations.
 
Mtakula mlipowekeza [emoji16]
 
Tofauti ya GDP ni $26,958.

Iweje nchi yenye watu 600K iwe na GDP kuribu sawa na nchi yenye watu 50m? Hata tukichukulia mauzo ya vyakula au matumizi ya umeme au huduma za simu, utaona makosa ya hizi GDP (nominal).
Hakuna makosa. Luxemboug wameamua hawatozi benki kodi au wanatoza tax ya chini mno so benki karibu zote duniani zinakimbilia kuweka makao yao huko Luxemboug. Ndio maana huwa tunaambiwa tuweke mazingira mema ili investors waje wainvest lakini sie Waafrika huwa tunataka kuonyesha investors kwamba sie ni Wababe zaidi. Tunatunishia investors vifua, tunawafukuza kabisa wanakwenda Luxemboug kuwekeza huko.

 
What can he say?

Can you engage your brain or at least keep yourselves in his shoes and determine what is appropriate in the current circumstances?

Lets stop being this willfully gullible.
But did I make a statement about his “situation” ? And what are the current circumstances of which you speak?
 
Hizo benki zimewekeza fiat au real money?

Ni sawa leo ni code smart contract na kutengeneza coin yangu halafu watu wakawekeza. Mwakani coin hiyo ikiongezeka "thamani" (out of a thin air) nikawa na $1000million. Nitakuwa nahesabika kuwa ni bilionea, ila kiuhalisia ni utajiri wa makaratasi tuu.
 
Ndio tujue tunasafari ndefuuu sanaaaa kufikia matunda mema
 
Huyu ni wa pili . Wa kwanza anaitwa Ana Makinda
 
From my house window naona more than 10 cranes kwa hewa and that is in Kilimani and Lavington area only where my eyes can see
 
Stop hypocrisy bhana😆😆
 
Acha nikujibu dar watu wanaishi kwenye nyumba zao hivyo ni vigumu kutumia mwanga wa taa kupima ukubwa wa dar labda bizo nyumba zingekuwa apartments mwanga ungeonekana ,sasa kama dar ni ndogo mbona hakuna mkenya aliye kuja dar na kusema dar ni ndogo ,tena wakenya wengi wanakuja tz dar kuliko watz wanaokuja kenya kwa matembezi , hili swala ni kama la slum tu wakenya wanasema dar kuna slum ila wakenya wanaokuja na walio kuja wameshindwa kutuonyesha hizo slum live tofauti na sisi tukija kenya tunaweza kuonyesha slum hata 1000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…