Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lol......number two inaumanga watanzania sana....Hahaha. na vile mko lazy mtapita Kenya vipi......Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
hivyo hivyo kilazy lazy......asa sijui nani atakuwa lazness maana sasa hivi ni mwendo wakuwabaka tu.....na bado vitu vingi hstujaaza kuvuna matunda yetu sijui tunapoanza itakuwaje.....[emoji12] [emoji23]
 
naona tanzania imekua tishio dhidi ya majirani zetu😀😀😀😀😀😀
wakenya wa leo sio wale wakenya wa miaka 10 iliopita😛😛😛
 
povu
 
Mtu akiwasikiliza Wakenya humu atafikiri Kenya ni kama....Hong Kong,Qatar hivi kumbe ni typical third world country ambayo umaskini ndio sehemu kubwa ya maisha ya wananchi.
 
Ongea yote but Tanzania is the 5th with the fastest growing economy in the World and 2nd in Africa. The 2017 report.View attachment 568601
wewe,, growth ya (tz) 7.2% x 50B ni Us$3.6B

growth ya (Ke) 5.7% x 75B ni Us$4.3B

difference = Us$0.7B
gap inapanuka au haipanuki???

grow at 10% first while Ke grows at 3% then come we talk.
 
wewe,, growth ya (tz) 7.2% x 50B ni Us$3.6B

growth ya (Ke) 5.7% x 75B ni Us$4.3B

difference = Us$0.7B
gap inapanuka au haipanuki???

grow at 10% first while Ke grows at 3% then come we talk.
wataalamu wa kupika data....[emoji23] [emoji23] [emoji120]
 
wewe,, growth ya (tz) 7.2% x 50B ni Us$3.6B

growth ya (Ke) 5.7% x 75B ni Us$4.3B

difference = Us$0.7B
gap inapanuka au haipanuki???

grow at 10% first while Ke grows at 3% then come we talk.
Hii taaluma ya kupiga Hesabu kwa style hii ulijifunzia wapi?

Hahaha hata estimations za mama mboga hazipigwi hivi.
 
Fastest growth haimaanishi mko mbele...
pia kenya ilikuwa na growth ya 12 per cent 2010 kubwa zaidi worldwide wakati huo.
 
photos taken inside dar's brt during non-rush hours.
Honestly kwa public transport nayo i laud Dar.....Sisi nganya zetu hu misbehave town sawasawa and we dont have clear cut bus terminus in Nairobi. ..........I think light rail can be the only solution for Nairobi and BRT can be good for Mombasa or kisumu which has wider streets

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…