Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Algeria is building the third largest mosque on earth 🌎 👇 . Expressway in Algeria . Kenyans mnaona nchi zenye GDP ya kweli hufanya.? Let me show you the second most beautiful city of Algeria 👇.. Oran Cityeti kenya ndio iko na uchumi wa kukaribiana na Algeria 😂😂😂 Aah ******** GDP ni ushenzi wa mzungu.. kwasababu kila ndoto inazoota kenya (NAIROBI), Oran City (the second most beautiful city of Algeria) ilishazifikia kitambo tu
 
Hawa ndio ufananishe na Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vipi kuhusu Kibaha Chalize Dual Carriage way? Hii project ni ya muhimu sana pia
 
eti the most modern metropolis.! when nairobi is the commercial, financial, industrial, tourist,i-tech hub in africa only after jburg and cairo.
nb: upperhill is the second richest square mile in africa only after santon, sa View attachment 2108038
😂😂😂😂 Acha kuwa mpuuzi kiasi hicho 👇 GDP ya karatasi isikutie uchizi huu.. this is Tripoli libya 👇.. wala kwenye GDP haitajwi .. is NAIROBI even closer to this 👇hivi ndio modern City hukaa
 
GDP ya hao Libya,Algeria zimekaribia ya kenya????
Kenya tuko poa tutakapofikia GDP ya hao majamaa tutakuwa noma kuwaliko!
Lakini swali ni hili
Tanzania na ambavyo mko wengi,Rotuba nzuri na bado Ukubwa huo wote wa Nchi yenu😂😂😂😂
Swali ni hili!
Mko na GDP ngapi??
Dar imeshinda Rwanda kwa ???
Hizo nchi mlizoleta picha yazo je zinafanana na daresalam ama hata kukaribia???
Mombasa yenyewe inakibizana na Dar! Dont joke with Nairobi wwe bado hamjafika!
 
eti the most modern metropolis.! when nairobi is the commercial, financial, industrial, tourist,i-tech hub in africa only after jburg and cairo.
nb: upperhill is the second richest square mile in africa only after santon, sa View attachment 2108038
Acheni kuwa wapumbavu 😂😂 kupata vi apartments kadhaa ndio ishakua eti mko number 3 behind JB and Cairo 😂😂😂 is NAIROBI even closer to Capetown 👇tena bila aibu unataka kuitaja NAIROBI kwa hizi world class Cities fala nini wewe.?



 
Unazungumza vitu gani.? Mbona hueleweki.? Jifunze kwanza kuandika then urudi hapa
 
but nairobi is more international 20× than, dar......! Google it
 
Unazungumza vitu gani.? Mbona hueleweki.? Jifunze kwanza kuandika then urudi hapa
unaona hivi wwe eti sasa mlijenga libridge eti mlifika sasa ubishane na Nai😂😂💩na kama hunishikanishi ni kwasababu sipangwigwi! Sawa
Bado hamjafikia Nai na uko hapa ukilinganisha 1st World Coastal cities na "landlocked" Nairobi!,Wat Nairobi lacks there is only a Sea View!
Hio Nairobi unasumbuka nayo juwa its the 6th wealthiest City in Africa!na kwa kila kitu Nai hutajwa everywhere ,Dar hutajagwa labda kwa coastal tourism and fishing!
Lakini Dar ina rise kwa haraka sana,lakini mambo bado!dont be too fast to forget the faces of your fathers😂
 
NI kama ndo mara yako ya kwanza kujua kutumia jina modern.
 
Hata mimi nawaamini Sana Japanese.

Hiyo barabara ilitolewaga mkopo na AfDB kwenye mpango wa kuunganisha barabara za EAC lakini ilijengwa km chache za Arusha na ile bypass baada ya hapo kukawa kimya sijui nini kilitokea but tunawashukuru Japan sasa mambo yatanoga..

Kama hiyo itakuwa dual carriage kwa umbali huo,tunasubiria na ya Dar-Moro-Dom,,Igawa-Mbeya-Tunduma, Mwanza-Shinyaga,na zile km 50 kila upande za Dodoma.
 
Aya embi amka haraka kabla hujaji haria apo....[emoji706]fasta embu leta picha kama hiii [emoji116]kutoka sehem yoyote apo kunya land...nijue nanyie niwakubwa kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…