Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sikia hii chupiii[emoji115][emoji115] komora096 njoo uchukue hii flytoilet ukatupe kwa slum kibera maana huwa unaitetea kwa upumbaavu ,
Nakumbuka kuna mjambiani mmoja alikashifu kuwa JPM kajenga masoko polini ....yeye aliona ni polini kwa sababu ya visioni yake kuwa ndogo watu majiniasi wanaona mjini kutokana na vision zao kuwa great
 
Tukiamua tuna rebase Kama wafanyavyo Kenya.Tz GDP ikiwa rebase itakua habari nyingine.Hatuhangaiki Sana kupandishi GDP ili kutanua wigo wa mikopo Kama afanyavyo Kenya ,Nigeria
Tuki...tuta......language of losers......hata mfanye nini itabaki tu at 60's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…