Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fair enough., Dar is coming up fast, though bado kwa Nairobi that you can attest, though lately mume slow down kiasi.., ama ni Nairobi imesonga kwa kasi in a short period.., sio buildings na barabara.., estates.. its as if Dar ina stagnate tena, ama inajikokota.., why?
 
😂😂😂 Sawa mekuelewa, utatia adabu tu taratibu..
 
😂😂😂 Sawa mekuelewa, utatia adabu tu taratibu..
Ni wewe unanyooka pole pole.., tazama hii clip ya Eastleigh, ujionee biashara. Watanzania, Waganda, Rwanda na kadhalika wanafika Eastleigh kununua bidhaa..,
 
Dar sio stagnant, kuna miradi mingi (kawe city, dege ecco village, seven eleven .NK) ilibidi iishe hata kabla ya 2021, ila magufuli aliismamishaga kwasababu iko na elements za rushwa kwa wingi mno, alafu aweke mazingira mazuri ndio tuanze tena kwa njia ambayo serikali itanufaika na hiyo miradi.. ila ingekua sasahiv tunazungumzia Dar yenye CBD hata tano tena CBD za maana.. ngoja tuone mama atafanya nini, kwasababu miradi ulishaanza kutekelezwa, ilismama njiani tu
 
Ni wewe unanyooka pole pole.., tazama hii clip ya Eastleigh, ujionee biashara. Watanzania, Waganda, Rwanda na kadhalika wanafika Eastleigh kununua bidhaa..,
Mnajitahidi Ila KK ni balaa mzee, fanya ufike ujionee every single street in Kariakoo is busier.
 
eeh🙌broo umeua mbu kwa gobore
 
Labda kama unasemea kwa highrises buildings but kwa infrastructure kwa kipindi cha miaka 5 ilioisha dar imewekeza sana,

miradi iliokamilika including tazara flyover,ubungo interchange,miradi ya dmdp wamejenga barabara 200+km katika unplanned settlement in 14wards and feeder roads length 65kms,kimara kibaha highway 19kms 8lanes,expansion of dar port to handle 25m tonnes of cargo per yr,finalising JNIA-T3,brt phase II 20.3km along Kilwa roads and other few city centre roads,construction of Tanzanite bridge and connecting roads length 6kms ,Bila kusahau Sgr ambayo imeanzia Dar hapa.
Hizi miradi ni za ma billions ya pesa za kimarekani....Huwezi sema Dar imesimama kwa hii kazi iliofanyika
 
Huyo kilaza anaongelea districts?! 😂 😂 😂
Unajua wilaya yoyote Nairobi?
Personally, I honestly don't know if Nairobi has districts. I only know it as a county with several constituencies. Sasa nashangaa kuona cbd yao inaitwa Ilala and posta at the same time! So much confusion in this city of theirs
 
kama hii ndio muundo misingi ya johannesburg, basi wametuzidi tu kiasi. hizo zote ziko kenya japo at a smaller level...
lakini Tz jameni..... boss muko na safari ndefu. yani mko tu na 'Ubungo Interchange' pekeyake.!!??. pengine na hizo bridges mbili.. otherwise mwendo bado.
Nb: kwangu, kimara/kibaha sio kitu
 
Eti slightly smaller scale lol we jamaa funny sana...this is Joburgy
 
Kimara kibaha highway
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…