Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Show us new different roads we tired with seeing the same content everyday
wacha hasira sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwani nyinyi kunaproject gani zaidi ua express ya mchina ile itwatoa nyongo miaka 30 hakuna kenge yoyote ataekatiza bila malipo ya mchina๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
kama nairobi haina maji kwann migori isikose maji ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Ila we jamaa ni kilaza sana GDP per capital ndio utajiri.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Tena unataka kulinganisha mji wa watu 700k na watu 17m pp, fala kweli wewe.. yani huna aibu unaitaja Shenzhen kwenye sentence moja na Seattle .? Ifike mahala uwe na heshima hata robo, leo iwe mara yako ya mwisho, usirudie tena
 
"Darslam has come in as a very big surprise for me. one might think its europe and not actualy africa, yet you never hear much about it, you don't even see it in the media and internet...."
What's the link to this Youtube channel?
 
Your understanding is very shallow, the guy said that you don`t have an airport purely dedicated to small domestic aircraft. Hajaongelea hangar.
Acha kelele, terminal one purely dedicated to those small aircraft sometimes called General Aviation (GA).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ