Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nadhan tokea mwaka huu uanze hadi unaelekea ukingoni sijawah kuona mkenya anapost miradi ya maji kwa kujisifu[emoji23]..
kwenye water supply and sanitation services level zetu ni Australia huko au US au CANADA [emoji846]
Acha kuota utakojoa kwa kitanda🤣🤣🤣🤣
 
Hii meli inayojengwa na engineers wa kikenya ndio ulinganishe na Mv Mwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji1787]
We are proud that in locals participate in construction of water vessels and not like Tanzania where everything is done by japanese and chinese😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tz GDP ni $135b huo ndio uhalisia ambao hata nyie mnajua.
 
We are proud that in locals participate in construction of water vessels and not like Tanzania where everything is done by japanese and chinese[emoji23][emoji23]
Yah na ndiyo maana hamuwezi kulinganisha Mv Mwanza na uchafu unaojengwa na engineers wanaoporomosha majengo daily [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yah na ndiyo maana hamuwezi kulinganisha Mv Mwanza na uchafu unaojengwa na engineers wanaoporomosha majengo daily [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
That just show how tanzania is full of warthogs. Something simple like just assembling of parts bado mnaiitia wajapanese?🤣🤣
 
That justy show how tanzania is full of warthogs. Something simple like just assembling of parts bado mnaiitia wajapanese?[emoji1787][emoji1787]
Simple? Onesha mradi mkubwa unaojengwa na engineers wa kikenya, hata hyo ferry ya Mv uhuru Wakenya wameshindwa kujenga wao wkt cc huku ferries wanajenga Watz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
nadhan tokea mwaka huu uanze hadi unaelekea ukingoni sijawah kuona mkenya anapost miradi ya maji kwa kujisifu[emoji23]..
kwenye water supply and sanitation services level zetu ni Australia huko au US au CANADA [emoji846]
hizo ni miradi zinafanywa na county governments huku
 
Simple? Onesha mradi mkubwa unaojengwa na engineers wa kikenya, hata hyo ferry ya Mv uhuru Wakenya wameshindwa kujenga wao wkt cc huku ferries wanajenga Watz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena umechange gear? Si ulikuwa unasema ati nyinyi ferry zenu zinajengwa na Japanese?🤣🤣
 
😅😅😅😅😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Ukitaka mwenye huwa anatamani Tanzania iwe na GDP kubwa kuliko Kenya ni huyo, nma ukiwapata wakijidanganya ati GDP sio issue you can just bust out ion laughter.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
JPM noma sana, yani Mungu amlaze mahala pema aisee, nipo hapa tangu asubuhi nazipiga nyani kwa sababu yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Natamba tuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mbwa nimezipa homework na haziwezi kunijibu mpk dunia inaisha, wataleta maneno na co picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…