El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Nyumba za kiswahili ndio ngoma dar. .. .mliamua kufuata mtindo ya waarabu so uswazi umewabana kama gundihatuna kabisa yaani .....tunalala nnje mdogo wangu
still not convincing.πππππππππππ
2010 tanzania
2017 kenyaπππππ
View attachment 554678
siyo gundi peke yakeee ni zaidi ya gundiNyumba za kiswahili ndio ngoma dar. .. .mliamua kufuata mtindo ya waarabu so uswazi umewabana kama gundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Lunatickumbe ulikuwa haujui ha haaaaaa.......kumbe wewe fala....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usilie msee wa fishing villageintelligent ya ukora na ufisadi hapo sawaπππππππ
Amini usiamini na huo ndio ukweli mm nime renew yangu juzi tu ilikua imeisha...i will show ustill not convincing.
kati ya ukisoma heading ya io story, kati ya 'Tanzania na Switch' kuna neno tata la 'To' ....
convince me it's 6years bro...
Mbona unalia sana nduguππππ
Hahahahahππππππstill not convincing.
kati ya ukisoma heading ya io story, kati ya 'Tanzania na Switch' kuna neno tata la 'To' ....
convince me it's 6years bro...
ata mimi pia niko na leseni na uwa nai renew after a period of time so i don't know what's the big deal here. nimekuonesha driving licence yenye ulitaka kuona.... so?Amini usiamini na huo ndio ukweli mm nime renew yangu juzi tu ilikua imeisha...i will show u
πππππππ
Mumeanza kutumia juzi tu my friend tanzania imeanza kutumia 6 yrs backππππata mimi pia niko na leseni na uwa nai renew after a period of time so i don't know what's the big deal here. nimekuonsha driving licence yenye ulitaka kuona.... so?
nitajuaje ni 6yrs backMumeanza kutumia juzi tu my friend tanzania imeanza kutumia 6 yrs backππππ
Kama unaweza tuanze na kitu kidogo sana kwenye matumizi ya technology , tuma apa kitambulisho cha taifa Kenya au kipande na Driving License simple technology ukikosa ivyo ambavyo vinatakiwa kuwa electronics identification cards basi Tanzania sio ligi yenuHahaha fishing village na technology ni kama maji na mafuta.......
Sent using Jamii Forums mobile app
haha... vipicha havisaidii. hii ni mfano tu
πππππ mkenya mbishi wewe sijawah kuona haya endelea kubishahaha... vipicha havisaidii. hii ni mfano tu
mumeanza kutumia i.d cards juzi.Kama unaweza tuanze na kitu kidogo sana kwenye matumizi ya technology , tuma apa kitambulisho cha taifa Kenya au kipande na Driving License simple technology ukikosa ivyo ambavyo vinatakiwa kuwa electronics identification cards basi Tanzania sio ligi yenu
umeenda google ukakosa suluhisho... hahahhahaha... pole sanaπππππ mkenya mbishi wewe sijawah kuona haya endelea kubisha