Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa unaganda vipi hapa kushindana na jiji la kishamba?
Huyo kwasababu nilisema jiji likikosa BRT ni la kishamba naye kaona aje na monuments, wkt hakuna kitu wanacho kikakosa kuwepo Dar, ila kuna vitu Dar vipo huwezi kuviona East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Angalieni brt stations za kenya, hapa ikipiga mvua abiria pamoja na mkata tiketi wanaogelea , na jinsi station zao zipo chini sana mafuriko ya nairobi yakipiga hapo watu watakua wanafugia pelege hapo
 

Angalieni brt stations za kenya, hapa ikipiga mvua abiria pamoja na mkata tiketi wanaogelea , na jinsi station zao zipo chini sana mafuriko ya nairobi yakipiga hapo watu watakua wanafugia pelege hapo
Hakuna BRT system Kenya bali walitaka ku catch up with Tz ndipo wakajikuta ndani ya utopolo wa karne.
 
@Tony254
komora096
Don YF
mwathadan

Tanzania dominates every sector by far [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakunya hatujaweka update ya miradi yetu naona mmeanza kutuzoea tena, subirini soon yanakuja mapigo matakatifu mtakimbia tena kama kawaida yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…