Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Facelift., mutumba not 2022 L300., , ata South Sudan wanazo mingi tu, nilijua nyie mazuzu kweli, huwezi tofautisha facelift na real deal, zero mileage πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
mukiambiwa ukweli munaanza kulia🀣🀣🀣 mtu ashatumia katumia 250km sasa anauza
 
Nenda nao pole pole watakuelewa tu, magufuli alienda na akili zao🀣🀣
The idiots know very little about vehicles, wanakurupuka tu., yaani 2022 Landcruiser V8 L300 launched in August 2, 2021 wao walinunua in June 2022, ata Europe wakati huo hazijafika., yaani hakuna ata moja Toyota walikua wameuza πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , wako na ma facelift za mitumba, upgraded L200 and below wanadhani ni L300, V8 L300 zinatoka jikoni direct, kwa sasa ziko on demand, u get by order na unangoja production kuna list, hawa nimewadharau sana, huwa wanaanika ujinga wao wazi wazi.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kwani unadhani hiyo body design ilikua when? before itumike kwa L300?., inaitwa biashara, na wana target nchi fukara kama akina Tanzania, after launching the real L300, pia hizo body design wanatumia ku facelift zile za kitambo ili wauze, business strategy.., nyambaff.., Kenya tumenunua zero mileage L300, toka jikoni, next order zitafika next year from the factory, headquarters ya Toyota iko Kenya, nyie mnauziwa mitumba na dealers!., meza wembe dogo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
mulidanganywa na mama ngina🀣🀣🀣



 
yani leo nimecheka sana hujui hata LC 300 zimekua launched lini??? 🀣🀣🀣🀣

kwakua mumenunua december munafkiri zimetoka august πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

 
Wewe ni taahira
 
Hilo ni taahira mkuu
 
mulidanganywa na nani mlevi au 🀣🀣🀣
 
yani leo nimecheka sana hujui hata LC 300 zimekua launched lini??? 🀣🀣🀣🀣

kwakua mumenunua december munafkiri zimetoka august πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

View attachment 2038386
Kuna gari ambazo zina ubia na Tanzania, Cruiser na Scania kwa Africa Tanzania ndio headquarters zake hilo halina mpinzani πŸ˜…πŸ˜…
 
Eti hizo ni face-lift 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Uwiii niacheni
 
yani leo nimecheka sana hujui hata LC 300 zimekua launched lini??? 🀣🀣🀣🀣

kwakua mumenunua december munafkiri zimetoka august πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

View attachment 2038386
tuende pole pole, baada ya premier, which countries were the first to order? Najua South Africa Toyota ilikua supplied in August,

Kenya zimekua kabla ya launch na Toyota Kenya, niko kwa fb group ya magari, tuliziona mapema kidogo kwa streets, ata na za plate ya south sudan SSD, wewe unabweka humu tu., same na Landrover Kenya., gari zilifika kabla ya Landrover Kenya ku launch., wacha nikufunze, unaeza kununua kwa dealers, ama kwa Toyota wenyewe., am sure imefika Toyota Tanzania hii November ama December, lakini kuna matajiri walinunua direct from international dealers kabla ifike Tz rasmi, nadhani unanielewa., fanya hivi, check with Toyota Tanzania kisha rudi unielezee, get their number kwa website yao kisha uwapigie simu uulize nikama unataka kununua, ask them when they received, ama kama zimeisha when is the next delivery, uje unia hadithie., mimi sio mwehu kaka.,
 
We matako kweli, Tanzania zipo toka June, ninyi zimeingia December 🀣🀣🀣🀣

Tanzania zipo used kwenye showrooms tayari

Huyo ni mtu binafsi ameimport. Hata hapa Kenya wapo watu binafsi wanazo wamenyamazia. Nionyeshe kwenye showroom nijue kama Tanzanians are buying them enmass
 
yani leo nimecheka sana hujui hata LC 300 zimekua launched lini??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kwakua mumenunua december munafkiri zimetoka august [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

View attachment 2038386
Wakuu mko wapi, Ichoboy anatembeza vitasa ukuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hucheki, akili imerudi eehh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio cheap face-lift tena? 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…