Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hizi tu ni baadhi ya maCoaches, zaidi ya 100+ ya Gor Mahia Sacco.. Gor bana wako na Sacco, sio kama Simba Kapakatwa
Hawa hawa gor mahia waliwahi lala airport during international tournament ilikua West Africa kisa hawana hela Leo unasema wana Sacco inamagari 100+ , hata mchezaji wenu kahata alivyoachwa na Simba walikua wanalalamika anataka signing fee kubwa Kwa sababu kazoea huku bongo hela nyingi. Makocha wanakimbia katikati ya msimu kisa hamna chapaaaaa.. kweli mkunya na uongo ni damu damu
 
[emoji848][emoji848]
 
Baba ho jamaa ni vichwa hamna, wanajua kutumia vizuri sana adjective hao, kwani haujui kwamba ndio taifa bora Africa hili.? 😂😂😂 Hawawezwi hao .. utajisumbua bure.. hao wakoradhi waongee uongo ili wawe juu tu, ndio tabia yao
 
Hii povu yote sasa ni ya nini?




Wakati hizo taarifa zikichipuka si nyinyi mliaminishwa Magufuli yupo na "anachapa kazi"? Mwishowe nini kilifanyika? It was a top-guarded secret ndio maana wengi wenu mlishtuka tu kuona taarifa za kifo chake ikitangazwa na Mama Suluhu. Take a chill pill 💊 and relax man
 
Na BRT ya gongo la mboto ikaunge sgr ya pugu sio kuishia gongo la mboto . Itasaidia wanaokaa ukanda wa gongo la mboto Hadi tazara wasiende shukia mjini. Hii itasaidia kupunguza msongamano
 

Why can`t you focus on Tz? The longest elevated road section in Tz is 200m.
 
Only people who were against Magufuli were comfortable and likely to come to Kenya like Tundu Lisu, remember Jubilee is a close partner of CHADEMA, that's why Tundu Lisu came there, never on earth a Tanzanian leader can be taken to Kenya. We have much better Hospitals than yours
 
New buildings coming up everywhere you look in Kilimani
Nyie jengeni majengo cc tunajenga meli, mabwawa, tunanunua treni za umeme, tunajenga BRT all regions, tunajenga madaraja, tunakuza kilimo zen itafaamika nani mwenye akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

First man to speculate his demise, read carefully his role


 
The last card of Chid Benz, "Nalia"
 
In fact Tanzanians knew the death of Magufuli from Kenyans. Mama Suluhu was just confirming the obvious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…