Wimbo wa Saida Karoli, wenye wivu wajinyonge naudedicate kwa Watanzania wote wenye wivu na Kenya. Tukianza na mkubwa wao ichoboy01 akifuatwa na Venus Star
Huu mradi kamwe hautokamilika Kama ambavyo SGR yenu haikukamilika na imekua ni mzigo kwa wananchi wa Kenya, hakuna faida itakayopatikana kutokana na hii miradi ya SGR na Lamu port, very expensive can' t make profit (SGR), Lamu port hakuna enough customers na hakuna fedha ya kukamilisha ujezi wa gate zote.Watanzania wengi humu walisema mradi huu wa Lamu port hautawahi kamilika.
Thank you. I wish more people were like you. Able to congratulate the opposing team when deserved.Great project ...
Ujenzi umekamilika mwezi huu mzee. Tuliza boli. Tumeagiza cranes. Cranes zikiwasili ndio uje uongee kuhusu White elephant sawa?Something iddle, orphaned lying all alone in the wilderness,
White elephant indeed
Ujenzi kukamilika na mradi kutengeneza faida ni vitu viwili tofauti. SGR ya Kenya imekamilika. Sasa Lamu port pia imekamilika kama unavyoona kwenye picha niliyopost. Mambo ya faida hio tutazungumza baadaye cranes na vifaa vikishawasili.Huu mradi kamwe hautokamilika Kama ambavyo SGR yenu haikukamilika na imekua ni mzigo kwa wananchi wa Kenya, hakuna faida itakayopatikana kutokana na hii miradi ya SGR na Lamu port, very expensive can' t make profit (SGR), Lamu port hakuna enough customers na hakuna fedha ya kukamilisha ujezi wa gate zote.
Halafu nani alikuambia kwamba gati zote zinajengwa kwa wakati mmoja? Gati hizi zinajengwa in phases. Phase 1 ni gati tatu na baada ya muda fulani phase 2 itaanza kujengwa. Kwa hivyo usifikiri kwamba gati zote 32 zilistahili kujengwa kwa wakati mmoja.Huu mradi kamwe hautokamilika Kama ambavyo SGR yenu haikukamilika na imekua ni mzigo kwa wananchi wa Kenya, hakuna faida itakayopatikana kutokana na hii miradi ya SGR na Lamu port, very expensive can' t make profit (SGR), Lamu port hakuna enough customers na hakuna fedha ya kukamilisha ujezi wa gate zote.
Oh!! kwahiyo LAPSET imekamilika!?Watanzania wengi humu walisema mradi huu wa Lamu port hautawahi kamilika.
Asante.Oh!! kwahiyo LAPSET imekamilika!?
Hongereni.
Mbona barabara hazina lami?To you residential ni kujenga Majengo yanafanana kama dormitories,
Middle and upper class unayosema wewe hakuna mtu ataishi humo, in Tz we assume such houses are meant for students ,
FYI: Tanzania is the most urbanized nation in east Africa with bigger towns and cities, where do u think these big populations in our cities lives as you are aware we ainβt having slums here,
Huku mtu akipata pesa ni mwendo wa kujilipua na majumba ya kibabe, not living in dormitories.
See this video of one of hundreds of residentials in Dar and Tz in general
You can search in YouTube for all the cities drone and see.
Kenya hakuna kibanda ya MTN. Try again harder.Ww takatak toka lini apo kunya mkajua kujenga nyumba za block? No wonder [emoji116] so wacha zenu zote zitwe slumsView attachment 2005063
Yes it has to be Dar! the only city in Tz π π πTo you residential ni kujenga Majengo yanafanana kama dormitories,
Middle and upper class unayosema wewe hakuna mtu ataishi humo, in Tz we assume such houses are meant for students ,
FYI: Tanzania is the most urbanized nation in east Africa with bigger towns and cities, where do u think these big populations in our cities lives as you are aware we ainβt having slums here,
Huku mtu akipata pesa ni mwendo wa kujilipua na majumba ya kibabe, not living in dormitories.
See this video of one of hundreds of residentials in Dar and Tz in general
You can search in YouTube for all the cities drone and see.
Mashashola na wewe do you have any relationship!?Kenya hakuna kibanda ya MTN. Try again harder.
Hizi residentials ndio same levels kama za Kisumu, Nakuru, Eldoret, Machakos, Kiambu, Kajiado etc., hakuna such level and magnitude outside Dar, haupati such levels in Mwanza or Arusha.., hehehehe., jikubalini tu.,To you residential ni kujenga Majengo yanafanana kama dormitories,
Middle and upper class unayosema wewe hakuna mtu ataishi humo, in Tz we assume such houses are meant for students ,
FYI: Tanzania is the most urbanized nation in east Africa with bigger towns and cities, where do u think these big populations in our cities lives as you are aware we ainβt having slums here,
Huku mtu akipata pesa ni mwendo wa kujilipua na majumba ya kibabe, not living in dormitories.
See this video of one of hundreds of residentials in Dar and Tz in general
You can search in YouTube for all the cities drone and see.
Kahawa sukari, Buruburu or Langata is better than this upperclass suburb in Dar. ππππYes it has to be Dar! the only city in Tz π π π
Arusha iko nyuma mwanzakwa upekuzi wangu na research, nadhani arusha ndio mji wa pili tz, nje ya dar
Middle income π π π π , it is LMIC, same as Zimbabwe na Tz tu, ama hauna taarifa?.., vile CCM ilidanganya dunia eti Tz is now a middle income country, they don't mention the word "Lower"., you are even dumber and clueless than I thought., π π πKwa vigezo gani unasema Zambia ni taifa fukara?, a middle income country unasema ni fukara?
We jamaa muongeaji sana kwani Kenya mpo wap?sihapohapo lmic unatoa wap nguvu ya kuidharau tz au Zambia?Middle income [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , it is LMIC, same as Zimbabwe na Tz tu, ama hauna taarifa?.., vile CCM ilidanganya dunia eti Tz is now a middle income country, they don't mention the word "Lower"., you are even dumber and clueless than I thought., [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ni mzee wa kukurupukaHizi residentials ndio same levels kama za Kisumu, Nakuru, Eldoret, Machakos, Kiambu, Kajiado etc., hakuna such level and magnitude outside Dar, haupati such levels in Mwanza or Arusha.., hehehehe., jikubalini tu.,