Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fantastic Dodoma housing complex

View attachment 2004329
Yani Limdanganyika linajiita 'somi' kumbe ni ujinga tu umejaa kichwani.
Hii ni "Dodoma housing comolex" ya wapi? Unachukua picha za ngara Nairobi unaanza kuiita Dodoma?? Hiyo Estate Ngara ambayo ilijengwa 2000s ndio unaiba picha zake alafu unakuja kudanganya watu eti ni serikali ya CCM ilijenga? Eti ni Dodoma housing complex?

Wacha ubwakni hii picha ni ya estate Ngara Nairobi ya Civil servants. Shows that danganyika mnatamani kua kama kenya. Hadi picha za sgr wabunge wenu waliiba tu za Kenya sgr na kwenda kudanganya ni za danganyika sgr.

Danganyika mko na safari sana kufikia kenya nyinyi wadanganyika
 
Ingie google uonyeshe slums za Dar, Mimi nitakuletea slums 10 za Nairobi toka Google
Utakula aibu, 80% of Dar is unplanned. Hata kupata straight streets or avenues hakuna. Hakuna barabara ni vichochoro tu bila plan.
 
Nimekosea kidogo mpaka umelia machozi πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ˜„πŸ˜‚

Nyinyi mkisema ndivyo sivyo sisi tunawaachia halafu kuanzia sasa ni mwisho kuchukua TanZanite yetu kwa kutorosha.

 
Tanzania wanaunda less than 1000 housing units and they call it massive. 😁😁
Mukuru Met housing is 15,000 units. Housing project moja Kenya inazidi housing projects zao zote nchi mzima. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Umemuumbua, was going to blast him., Dodoma haina such., they are constructing bungalows...,
 
PK bado anaweweseka
 
Utakula aibu, 80% of Dar is unplanned. Hata kupata straight streets or avenues hakuna. Hakuna barabara ni vichochoro tu bila plan.
Weka google reference ya slums za Dar please, sisi sio Kunyaland a country synonymous to slums
 
Tanzania wanaunda less than 1000 housing units and they call it massive. [emoji16][emoji16]
Mukuru Met housing is 15,000 units. Housing project moja Kenya inazidi housing projects zao zote nchi mzima. [emoji23][emoji23][emoji23]

We don't have problems of housing, there is nor slums here, that is a problem of Kunyaland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…