Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

14. Deep Sea Nairobi Kenya
 
Wow! Just wow! Dar utangoja sana uletewe picha kama hizi za mitaa za kawaida. Enyewe this comparison haina maana yoyote! It's a total waste of time. Nairobi and Dar are just worlds apart
True, haina., the reason inabidi watafute the negatives za Kenya kujikomboa, hawana jibu..,
 
Hii 👇 ni ufala gani? Kubwa sana duh!.., Eastlands imewauma sana!!.., tulikua tunawaletea tu westy, cbd na upperHill wakadhani ndio Nairobi 😂 😂 😂 😂
Hizo ni dreamhouses and that's one of their middle-class areas 😂 😂
 
Wow! Just wow! Dar utangoja sana uletewe picha kama hizi za mitaa za kawaida. Enyewe this comparison haina maana yoyote! It's a total waste of time. Nairobi and Dar are just worlds apart
Let's dwell in our positives which are many in comparison.., hakuna jibu kutoka Dar., naijua yoote...,
Ngara..,

 
Even Kisumu has better residential areas than most parts of Dar is slum
 
Wapi mahali imeandikwa kahawa Soweto ndani ya hiyo screenshot yako? Ninachokiona ni Kahawa na kahawa sukari tu. Wapi neno Soweto hapo? Si unaona sasa ulivyo mjinga na desperate?
I told you that, your education level is very low.
Huijui hata Nairobi inang'ang'ana kuijua Dar. Shenzi type
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…