Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huamini because UDSM library is not there, ingekuwa kwa list wewe ndiye ungekuwa mtu wa kwanz kuipost. For your information, UDSM is not even the biggest library in East Africa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 . Leta hiyo biggest library in EAST AFRICA yenye unaijua wewe nikuonyeshe kitu
 
Yani unataka kulinganisha sisi na nyinyi kwa kufanya miradi mikubwa kipindi hiki 😂😂😂, embu usije ukapata pressure uko, nyamaza kimya..
Shida yako ni maneno. Post hizo buildings tuxione bradhee🤣🤣. Najua ukishindwa utasema tumefunga mjadala.🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bange mbaya sana achana nazo,,

hizo link ndiyo huwa zinawadanganya hata macho yanaona kwa picha tu unapata uhalisia,
vitu vingine hahiitaji kujipotezea mda
 
KU Library is the biggest library in East and Central Africa, it has the capacity to accommodate one million books and 6,000 people at the same time.
 
Mbaya nini kutumia design za kiarabu.? majengo mnayojenga hapo kwenyu ni design za kikenya.? 😂😂😂
Haya, mwelezee huyo bwege mwenzako anayesema majengo yetu ni ya ukoloni. Mwelezee Afrika nzima tunatumia design za kuazima. Muwache kunifanya watu woke.🚮🚮
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bange mbaya sana achana nazo,,

hizo link ndiyo huwa zinawadanganya hata macho yanaona kwa picha tu unapata uhalisia,
vitu vingine hahiitaji kujipotezea mda
Picha haijaitumika kugudge something. Picha gives false impression.
 
Achaneni na akili za kitumwa.
The fact that you assume all past history is toxic inaonyesha kua ukona shida psychologically. Germany kuna Wangari Mathai International School, wao pia ni watumwa wetu basi.
 
Shida ya hawa watu they don't do research to whether what they have been told ni ukweli ama uongo.
Shida ni kwamba huwa unaumia sn na maendeleo ya Tanzania kama vile maumivu unayabeba peke yako, ss hutaki record mpya iliyowekwa na Udsm library? Nakuwekea picha na supportive article alafu na wewe uweke yako na picha pia usisahau, hii ndiyo the modern and new biggest university library of Afrika km hutaki kunya boga [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Usisahau kuweka picha ya library yoyote inayotoshana na hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
KU Library is the biggest library in East and Central Africa, it has the capacity to accommodate one million books and 6,000 people at the same time.
Si ndiyo hii hapa inayoshindana na Udsm library, mana picha hutaki kuweka nimekusaidia kuiweka hapa watu waone [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hata kipofu atakucheka
 
From Your article, it clearly says the library can only accommodate 800,000 books while the KU library can accommodate 1,000,000 books. So going by the figures you can clearly judge that KU library is the biggest between the thwo.
 
Maneno 100 ya mkunya usichukue hata moja, angalia gape tulilowapiga kwenye books accomodation btn Kenyatta library and Udsm library [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…