mm nakwambia are below 30 yani 30 and above ni mbili tu 43 office and 35 hotel kwisha hata ukikasirika haisaidii😂😂😂Unaivuliaje kofia kwa floor wakati yule kilaza mwenzako anasema residential towers are below 30 floors?
yani hio iwe 35 alaf hzo ziwe 31 😂😂😂😂😂😂 ni kichaa pekeeeKinachonifurahisha ni kwamba hii kelele yako hsitabadiisha huu ukweli.
Utaumia, ulie, unyamaze, ukasirike, ila huu ukweli itabaki palepale
View attachment 1990234
Hebu hesabu hizi floors ni ngapi including hiyo revolving restaurant in that dome-like structure ya juu kabisa. Ni hesabu hamujui ama ni ubishi tu ndio mnapendaView attachment 1990249
Movempic hotel in Nairobi, kuna fala aliiweka kwenye list eti Ina 21 floors, njoo we Nicxie hizi ni 21 floors.? Sa mnaongea uongo Ili iweje.?
atleast 24floorsHebu hesabu hizi floors ni ngapi including hiyo revolving restaurant in that dome-like structure ya juu kabisa. Ni hesabu hamujui ama ni ubishi tu ndio mnapenda
View attachment 1990253
Wawashie moto tu hayawani wote, mimi nitakua nyuma yako.Mm nililia sn ile cku naenda kumuaga Magu, nilitegemea ningemuona akiwa hai lkn nikaona maiti yake niliumia sana, ss mbwa yeyote awe na akili au mbumbumbu akimponda tu Magu basi natembea naye iko hvyo, kwahyo kuanzia leo humu ndani ijulikane kwamba mm ni mfuasi mtiifu wa Magufuli ninayeamini kwamba Magufuli hajawahi kukosea.
This is the list I shared here yesterday.Hii ni Kenya Re tower, huyu bwege Nicxie akidai ni 21 floors, kumbe ni 10 floors.. 👇Kenya Re Towers, Upperhill Nairobi | Kenya Reinsurance Corporation
1. Britam Tower - 31 floors
2. GTC Office Tower - 43 floors
3. UAP Tower - 33 floors
4. GTC Hotel Tower - 35 floors
5. Times Tower - 38 floors
6. Prism Tower - 31 floors
7. Le'mac Tower - 26 floors
8. GTC Residential Tower - 33 floors
9. GTC Residential Tower - 31 floors
10. GTC Residential Tower - 31 floors
11. GTC Residential Tower -29 doors
12. Teleposta Tower - 27 floors
13. KCB Plaza - 24 floors
14. 4th Ngong Avenue - 26 floors
15. Sanlam Towers - 20 floors
16. Nyayo House - 27 floors
17. Cooperative Bank House - 27 floors
18. National Bank House - 21 floors
19. Anniversary Towers - 26 floors
20. Uchumi House - 21 floors
21. Hazina Towers - 24 floors
22. ICEA Building - 21 floors
23. Lonrho House - 22 floors
24. Reinsurance Plaza - 20 floors
25. Sanlam Towers - 20 floors
26. AmBank House - 25 floors
27. University of Nairobi Tower - 22 floors
28. Viewpark Towers - 20 floors
29. Delta Corner Tower 1- 20 floors
30. Delta Corner Tower 2 - 20 floors
31. MJ1 Towers - 20 floors
32. FCB Mihrab towers - 25 floors
33. King's Distinction- 20 floors
These are the only ones I can remember though there are more than that
Hawa wakishashindwa kwenye mjadala wanakuanga tu hivyo. Mwingine naye anamantain eti GTC residential tower zote ziko below 30 floors. Alafu vilaza wenzake wanamshangilia!atleast 24floors
Hizo ni gorofa 15 ukiongeza na hizo floor tatu za kwenye hako kamnara zinaeza fika 18, na hizo tunasebu pia 😂😂😂Hebu hesabu hizi floors ni ngapi including hiyo revolving restaurant in that dome-like structure ya juu kabisa. Ni hesabu hamujui ama ni ubishi tu ndio mnapenda
View attachment 1990253
Acha dhambi we kijana GTC residential apartments zote ni 28 floors .. leta hiyoHawa wakishashindwa kwenye mjadala wanakuanga tu hivyo. Mwingine naye anamantain eti GTC residential tower zote ziko below 30 floors. Alafu vilaza wenzake wanamshangilia!
This is the list I shared here yesterday.
Where did I mention Kenya Re in that list? Mshaanza kutafuta vijisababu kama ulivyo kawaida yenu
So between mahali roofing ya bati imefanyika hadi mwisho wa hiyo dome like structure unaona tu floors tatu? Kweli mnapenda ubishi.Hizo ni gorofa 15 ukiongeza na hizo floor tatu za kwenye hako kamnara zinaeza fika 18, na hizo tunasebu pia 😂😂😂
Hizo ni ngazi au ni floors hizo.? acha uongo we jamaaSo between mahali roofing ya bati imefanyika hadi mwisho wa hiyo dome like structure unaona tu floors tatu? Kweli mnapenda ubishi.
Alafu hiyo hapo juu sio mnara, those are floors coz the uppermost floor ndio kuna revolving restaurant. Mitanganyika mtaacha mabishano lini?
Kwa hivyo you can swear on your life that the building on the left has only 28 floors and not 31 na ubebe Bibilia/Kuran ukihapa hivyo?Acha dhambi we kijana GTC residential apartments zote ni 28 floors .. leta hiyo
Is that my list? Mbona umeacha nje jina ya aliyepost hiyo list? Sasa si unaona mbweha ni wewe!!View attachment 1990257
Me siongeagi uongo we mbweha .. hapo juu 28. Ni Kenya Re tower and you claimed ni 21 floors, au sio wewe huyo.?
Ni ngazi baba. Umeshinda, happy now?Hizo ni ngazi au ni floors hizo.? acha uongo we jamaa