Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna wa kushindana na Tz kwa ss kwa hivi vinchi vya East and Central Africa niamini mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duu The best 007, umeongea maneno kwa hisia kali sana kk [emoji23]
Ndiyo nawaambia waja wajue ukweli kwamba ukimgusa Magu umenigusa mm kwasababu jamaa ameshakufa hawezi kujitetea, ss watetezi wake ni sisi, yn mm nataka cku nikifa na nikakutana na Magu aseme kwamba kijana wangu ulijaribu. Yn mm huwa naumia sana mtu akimponda Magufuli.
 
Daa mkuu yaani wee acha tuu asee, mimi Magu nilianza kumuita "my president" tangu yupo waziri enzi hizo 2011 nikaweka picha lake facebook asee, yaani huyu mzee alijitoa kweli kweli jamani. Kumtusi ambae kishalala haipendezi kabisa kwa desturi zetu
 
kabisa
 
Kwahiyo humu ndani naomba ifahamike kabisa kwamba sijawahi kuona alichokosea Magu ndani ya misimamo yangu, so naomba ulinzi humu ndani, ukiona nakuvamia uwe mTz au mkunya kwasababu ya Magu nisamehe sn kwasababu unavyotafsiri wewe kuhusu huyu mwamba wa Afrika ni tofauti na ninavyotafsiri mm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…