Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

acheni longo longo
 
acheni longo longo
Niletee taarifa yoyote inayosema kwamba only two buildings in GTC are over 30 floors. Mimi naweza kukuletea hundreds of sources saying that all but one are over 30 floors. Mnasumbuka kweli midanganyika
 
Ikumbukwe kwamba hii co Mloganzira ambayo wakunya wengi mnaijua, hii ni Muhimbili, Mloganzira ipo kms nyingi sana kutoka hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…